The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Half time now kitakwimu tupo vizuri ila kuna huyu Delph kala red card sijui itakuaje tu
 
Wale mashabiki wa man city ambao hapo kabla mlikuwa mnashabikia arsenal nitafuteni nina zawadi zenu.....muhimu sana msidharau!!!
Tupo, leo tumelala. Pep anaweka kikosi finyu halafu anategemea nini, acha wamnyooshe. pale mbele walitakiwa kina sterling, halafu sane leo toka mwanzo hakuwa fomu kabisa. KDB alitakiwa aanze mapema. Aguero nae walimsahau maana kila mtu alikuwa anataka kufunga na sio assist. Pep anadharau sana acha leo aipate fresh. na bado arsenal anamsubiri.
Yaani leo ningepewa kuwa kocha wa city basi leo hii mechi tungeshinda. ningeweka kikosi kikuu.
 
Siniliwaambia!!! Kocha kazingua kidogo. Hii match ilitakiw aweke kikosi kizima.
Afadhali na wewe umeliona hilo. Mimi toka mwanzo nilisema huyu Pep anamadharau ya kijinga. Mimi sikuwa mpenzi sana wa mpira hapo nyuma ila kuna wakati nilisikia mashabiki wa arsenal na man u wakizozana kwa wamefungwa na ki wigan. ila ni ktk nyakati tofauti. Leo kampiga yule aliekuwa namba 1. spain na German. ( Pep ) Pongezi kwao wigan.
 
Wale mashabiki wa man city ambao hapo kabla mlikuwa mnashabikia arsenal nitafuteni nina zawadi zenu.....muhimu sana msidharau!!!
Utaamia tu City hivi punde. UEFA ikicheza unashabikia timu gani? na je ungeingia uefa ungekuwa unaishabikia hiyo timu? weka pembeni Barcelona na Real Madrid.
 
Mi nilijuw kuw tunaweza fungwa. Pale ilitakiw aanze na kikosi kamili, wakisha funga ndo abadilishe au wacheze mpira wakutokuchoka. Sasa aangalia dharau zake zimetuponza.
 
Pep anahitaji Champions League. EPL hana mashaka nayo kesha beba.
Sijui kwa nini amedharau FA? Waingereza wanaiheshimu sana FA. Inachezwa Wembley mbele ya Queen.
Pep amekosea. Tumsamehe kwani ni binadamu.
Leo Chelsea Barca.
 
Kadharau Fa
 
Nimeumia sana. Ila na yeye hakujuw kama matokeo atakuw vile.
 
Kweli mkuu ulisema, yani hawa wigan hatuna historia nao kwenye FA ila kichapo cha jana kimeniumiza sana
Mi huwa najifikilia, kocha kabla ya kupanga kikosi anaangalia na historia? Sababu sioni sababu ya kuweka nje De Brune , sterling na Ottamendi.
 
Ukiwa mshabiki wa league Uimgereza kuwa tayari kupokea surprise siku yyte...

Majirani poleni...huenda wigan wakaw washapaka kinyesi njia yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…