Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siniliwaambia!!! Kocha kazingua kidogo. Hii match ilitakiw aweke kikosi kizima.Tumepigwa mmmh
Tupo, leo tumelala. Pep anaweka kikosi finyu halafu anategemea nini, acha wamnyooshe. pale mbele walitakiwa kina sterling, halafu sane leo toka mwanzo hakuwa fomu kabisa. KDB alitakiwa aanze mapema. Aguero nae walimsahau maana kila mtu alikuwa anataka kufunga na sio assist. Pep anadharau sana acha leo aipate fresh. na bado arsenal anamsubiri.Wale mashabiki wa man city ambao hapo kabla mlikuwa mnashabikia arsenal nitafuteni nina zawadi zenu.....muhimu sana msidharau!!!
Afadhali na wewe umeliona hilo. Mimi toka mwanzo nilisema huyu Pep anamadharau ya kijinga. Mimi sikuwa mpenzi sana wa mpira hapo nyuma ila kuna wakati nilisikia mashabiki wa arsenal na man u wakizozana kwa wamefungwa na ki wigan. ila ni ktk nyakati tofauti. Leo kampiga yule aliekuwa namba 1. spain na German. ( Pep ) Pongezi kwao wigan.Siniliwaambia!!! Kocha kazingua kidogo. Hii match ilitakiw aweke kikosi kizima.
Utaamia tu City hivi punde. UEFA ikicheza unashabikia timu gani? na je ungeingia uefa ungekuwa unaishabikia hiyo timu? weka pembeni Barcelona na Real Madrid.Wale mashabiki wa man city ambao hapo kabla mlikuwa mnashabikia arsenal nitafuteni nina zawadi zenu.....muhimu sana msidharau!!!
Mi nilijuw kuw tunaweza fungwa. Pale ilitakiw aanze na kikosi kamili, wakisha funga ndo abadilishe au wacheze mpira wakutokuchoka. Sasa aangalia dharau zake zimetuponza.Afadhali na wewe umeliona hilo. Mimi toka mwanzo nilisema huyu Pep anamadharau ya kijinga. Mimi sikuwa mpenzi sana wa mpira hapo nyuma ila kuna wakati nilisikia mashabiki wa arsenal na man u wakizozana kwa wamefungwa na ki wigan. ila ni ktk nyakati tofauti. Leo kampiga yule aliekuwa namba 1. spain na German. ( Pep ) Pongezi kwao wigan.
Kadharau FaPep anahitaji Champions League. EPL hana mashaka nayo kesha beba.
Sijui kwa nini amedharau FA? Waingereza wanaiheshimu sana FA. Inachezwa Wembley mbele ya Queen.
Pep amekosea. Tumsamehe kwani ni binadamu.
Leo Chelsea Barca.
Nimeumia sana. Ila na yeye hakujuw kama matokeo atakuw vile.Pep anahitaji Champions League. EPL hana mashaka nayo kesha beba.
Sijui kwa nini amedharau FA? Waingereza wanaiheshimu sana FA. Inachezwa Wembley mbele ya Queen.
Pep amekosea. Tumsamehe kwani ni binadamu.
Leo Chelsea Barca.
Kweli.Nimeumia sana. Ila na yeye hakujuw kama matokeo atakuw vile.
Kweli mkuu ulisema, yani hawa wigan hatuna historia nao kwenye FA ila kichapo cha jana kimeniumiza sanaWakuu nilichowambia ndo kimetokea.
Mi huwa najifikilia, kocha kabla ya kupanga kikosi anaangalia na historia? Sababu sioni sababu ya kuweka nje De Brune , sterling na Ottamendi.Kweli mkuu ulisema, yani hawa wigan hatuna historia nao kwenye FA ila kichapo cha jana kimeniumiza sana
Asante mkuuha ha ha poleni sana
Asante sana chiefha ha ha poleni sana