Nafurahi sana kumuona Yaya Toure uwanjaniUmeshatembelea emirates? ngoja niende huko maramoja.
Ahahaaaaaaaaaaah...Kuna mtangazaji wa Magic fm eti anasema Arsenal jana kafungwa na Manchester united jamn hawa wachambuzi wengine wanatia hasira sana....
Tukutane kesho baada ya mechiChelsea tunampiga 3-1. Man City oyeeee!!!
Asante sana mkuu. Karibuni Etihad stadiumTukutane kesho baada ya mechi
Mimi The Blues banaAsante sana mkuu. Karibuni Etihad stadium
Sterling sikumbuki matatizo yake kabisa.Oi wadau rahm stering anamatatizo gani?
Ngoja nifanye ushushushu soon nakuja na majibuOi wadau rahm stering anamatatizo gani?
Karibu sana leo utakua mgeni pale Etihad stadium na sio sehemu salama kabisa kwakoMimi The Blues bana
Mkuu hawa wote leo hawatakuwepo uwanjani?Mmemuona hapo jamaa ni majeruhi asee..View attachment 704567
Hapana mkuu, mtu kama KDB hyo inahusiana na Champions LeagueMkuu hawa wote leo hawatakuwepo uwanjani?
Poa mkuu, imaani yangu tutashinda matct ya leoHapana mkuu, mtu kama KDB hyo inahusiana na Champions League
Sure! Tuna kila kigezo cha kushindaPoa mkuu, imaani yangu tutashinda matct ya leo
Jana kuna watu waliapa kuw hatuwezi kuwafunga mara 2 kwenye msimu 1Sure! Tuna kila kigezo cha kushinda
Ata Arsenal walisema hvyo hvyo alafu tatizo historia ya uwanja itachangia kuwahukumu huwez amini mara ya mwisho kupoteza game pale etihad ilikua ni 2016Jana kuna watu waliapa kuw hatuwezi kuwafunga mara 2 kwenye msimu 1
Kuna jamaa aliweka hadi hela. Nikamwambia hiyo hela imekuchoka nionavyo. Namsubilia usiku.Ata Arsenal walisema hvyo hvyo alafu tatizo historia ya uwanja itachangia kuwahukumu huwez amini mara ya mwisho kupoteza game pale etihad ilikua ni 2016
Ushabiki tu huo ila yote ya yote game sio rahisi sana kihivyo na lolote linawezekana dho nafasi kubwa ipo kwetu.Kuna jamaa aliweka hadi hela. Nikamwambia hiyo hela imekuchoka nionavyo. Namsubilia usiku.