The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kuna mtangazaji wa Magic fm eti anasema Arsenal jana kafungwa na Manchester united jamn hawa wachambuzi wengine wanatia hasira sana....
 
Mmemuona hapo jamaa ni majeruhi asee..
Screenshot_2018-03-04-10-02-43.png
 
Jana kuna watu waliapa kuw hatuwezi kuwafunga mara 2 kwenye msimu 1
Ata Arsenal walisema hvyo hvyo alafu tatizo historia ya uwanja itachangia kuwahukumu huwez amini mara ya mwisho kupoteza game pale etihad ilikua ni 2016
 
Back
Top Bottom