Kweli mkuu huu mpira wanaopiga city ni mkubwa sana, timu naiona mbali ata ligi ya mabingwa inauwezo wa kutoa upinzani mkubwa sana....Wazee nyie ndio mabingwa EPL sijaona wa kuwa stopisha
Go go go mpira mkubwa sana mnao
Kweli mkuu huu mpira wanaopiga city ni mkubwa sana, timu naiona mbali ata ligi ya mabingwa inauwezo wa kutoa upinzani mkubwa sana....
Kutoa upinzani na kuchukua n vitu viwili tofauti mkuuUCL mtaiota tu
Aisee mbona umekimbia tena? Mpira umeanza na umeshaisha. Umesema wewe ni the blues bana. Bado wewe ni wa blue? Manchester city is blue.Tukutane kesho baada ya mechi
Nipo mkuu siwez kimbia kwa goli moja...Aisee mbona umekimbia tena? Mpira umeanza na umeshaisha. Umesema wewe ni the blues bana. Bado wewe ni wa blue? Manchester city is blue.
[emoji2] [emoji2] nimependa utetezi wako .... watu wa the blues bhnNipo mkuu siwez kimbia kwa goli moja...
Still the blues [emoji4]
Vp mkuu upo live au umelala?Leo tunaingia uwanjani.
Mkuu siku 3 hizi siendi kwenye match kutokana na matatizo ya kifamilia.Vp mkuu upo live au umelala?
Kafanya makusudi tu. Si unakumbuka nilivyokwambia kuw hatuwezi kufikisha 100. Atakuw anaweka kikosi cha kawaida tu. Unajuw bora tupoteze match kuliko kupata majeruhi kipindi hiki.FT 1-2
Tumepoteza mbaya zaidi nyumbani asee ni mbaya sana.... ila tumesonga mbele kwa Ag ya 5-2
Angeforce ata draw tu ingependeza zaidiCity hakua na nia ya kushinda match ya leo..!
Anachokiwaza Pep anakijua mwenyewe..!
Pole sana mkuuMkuu siku 3 hizi siendi kwenye match kutokana na matatizo ya kifamilia.
Nikweli mkuu nimeona game ya jana kwakweli ningumu kupata point 100Kafanya makusudi tu. Si unakumbuka nilivyokwambia kuw hatuwezi kufikisha 100. Atakuw anaweka kikosi cha kawaida tu. Unajuw bora tupoteze match kuliko kupata majeruhi kipindi hiki.
Asante mkuu. Kocha kasema zimebaki match kama 4 ivi. Naona atakuw anatumia kikosi cha kawaida kwenye match flaniPole sana mkuu
Nikweli mkuu nimeona game ya jana kwakweli ningumu kupata point 100
Ndio itakua muda wa kina Diaz kushika dimba sasa tutachezea kichapo sanaAsante mkuu. Kocha kasema zimebaki match kama 4 ivi. Naona atakuw anatumia kikosi cha kawaida kwenye match flani
Hahahaha.Ndio itakua muda wa kina Diaz kushika dimba sasa tutachezea kichapo sana