The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Game ya leo sijaichukulia uzito sana maana ilikua haina umuhimu kivile kutokana na matokeo ya game ya kwanza. Ila mpaka sasa matokeo ni 1-1 mpira kama kawaida yetu tunaupiga mwingi sana na kingine nafurahi kumuona Toure uwanjani
Screenshot_2018-03-08-00-06-43-1.png
 
FT 1-2

Tumepoteza mbaya zaidi nyumbani asee ni mbaya sana.... ila tumesonga mbele kwa Ag ya 5-2
Kafanya makusudi tu. Si unakumbuka nilivyokwambia kuw hatuwezi kufikisha 100. Atakuw anaweka kikosi cha kawaida tu. Unajuw bora tupoteze match kuliko kupata majeruhi kipindi hiki.
 
Mkuu siku 3 hizi siendi kwenye match kutokana na matatizo ya kifamilia.
Pole sana mkuu
Kafanya makusudi tu. Si unakumbuka nilivyokwambia kuw hatuwezi kufikisha 100. Atakuw anaweka kikosi cha kawaida tu. Unajuw bora tupoteze match kuliko kupata majeruhi kipindi hiki.
Nikweli mkuu nimeona game ya jana kwakweli ningumu kupata point 100
 
Pole sana mkuu

Nikweli mkuu nimeona game ya jana kwakweli ningumu kupata point 100
Asante mkuu. Kocha kasema zimebaki match kama 4 ivi. Naona atakuw anatumia kikosi cha kawaida kwenye match flani
 
Back
Top Bottom