Huyu kocha hatabiriki mkuu, anaweza kusepa muda wowote.Ni kweli
Ila nyie kwa kuwa mnaendesha mambo kisasa na mnakocha mzuri its possible.
Man utd bado tuko kwenye transition, Chelsea huwa hawatabiriki, Liver wana kocha mzuri asiye jua finishing na Arsenal ndio kama walivo.
Kwa hiyo mkijipanga mna beba
Alisema 10 yrs hawezi ila 3-5 yrs ana weza kabsaa.Huyu kocha hatabiriki mkuu, anaweza kusepa muda wowote.
Ngoja tuone kama atasaini mkataba pya ivi karibuni.Alisema 10 yrs hawezi ila 3-5 yrs ana weza kabsaa.
Kwa hiyo najua at least by 2020 atakuwepo na by then mkisha kuwa mmepata formula kutafuta kocha mwingine mkubwa ni easy sasa.
Bado hamja mpa tuu [emoji1] ?Ngoja tuone kama atasaini mkataba pya ivi karibuni.
Alishapewa akagoma kusaini. Sijuw sababuBado hamja mpa tuu [emoji1] ?
Tuna washinda hata siye Mou pamoja na ubabaishaji wake tume mpa mkataba mpya.
Ata saini Tixi ni rafiki yakeAlishapewa akagoma kusaini. Sijuw sababu
Vs madrid itapendeza zaidiMan city vs barca au madrid itapendeza
Vs yeyote itakuwa safi tu.Vs madrid itapendeza zaidi
Buyern na Barca inaleta ukakasiVs yeyote itakuwa safi tu.
Tuko vizuri boss usiogopeBuyern na Barca inaleta ukakasi
Sawa bossTuko vizuri boss usiogope
Vs madrid itapendeza zaidi
Utofauti wao ni upi sasa? kama robo final wote tumefuzuMmh madrid wanaonewa la liga ila UCL wanakuwa tofauti kabisa
Utofauti wao ni upi sasa? kama robo final wote tumefuzu
City wenyewe vile vile kwani UCL wamekua na kiwango kibovu?Mkuu mmefuzu ila hampo ligi moja. Madrid la liga, man city epl.
Comment yangu nimemaanisha madrid wakiwa la liga msimu huu wachovu ila UCL wanakua na kiwango cha kushangaza,hivyo sio vibonde kama unavyodhani
Duuh! huyu live kazi anayo sasaLiv-Man
Mkuu Liv siwapendi, japo tunawafunga ukweli siyo watu wazuri kwetu. Mwaka huu wameshatuharibia mpango wetu wa kumaliza ligi bila kufungwa.Duuh! huyu live kazi anayo sasa