The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Dk 88 eve 1-3 city
IMG_20180331_211343.jpg
 
Aijapenda kabisa kazi ya vijana. City walitakiwa watume salamu kupitia huyu jamaa. Maana ndie alie katika zile timu mbili ambazo zilimnyima city point 3.
Baada ya salamu kaambiwa wapelekee ujumbe. Ameshindwa. Kudadadeki. Alitakiwa afanye hivi.
HT eve 0 mancity 4
FT eve 0 mancity 5
 
IWE kwa lazima au hiyari, Manchester City wanabeba taji la Ligi Kuu England msimu huu. Kutokana na hilo, haitakuwa ajabu sana kama wakianza kutajwa kuwa ni mabingwa wateule wa ligi hiyo na wanachosubiri ni kuapishwa tu.

Sawa, ligi bado haijafika mwisho, bado kuna pointi 24 za kuzisaka na Man City kabla ya mechi za jana Jumamosi ilikuwa imeweka pengo la pointi 16 kwenye msimamo dhidi ya timu inayoshika nafasi ya pili, Manchester United. Hiyo ina maana kama Man City watakuwa wameishinda Everton na kisha wakienda kuichapa Man United wiki ijayo, hapo watakuwa wamejisimika rasmi kuwa mabingwa wa England wa msimu huu.

Hilo likitokea, vita itakayokuwa imebaki ni timu zitakazochuana kumaliza ndani ya Top Four ili kukamatia tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao. Kuna timu tano zinachuana kuwania nafasi hiyo, lakini kwa kutazama msimamo ulivyo, Arsenal ndiyo watu ambao watahitaji utokee muujiza ili wao wawemo ndani ya Nne Bora katika Ligi Kuu England msimu huu, huku kuna wasiwasi mkubwa kwamba huenda Chelsea, Tottenham na Liverpool mmoja wao akashindwa kupenya pia, huku Man United wakiaminika kwamba wanaweza kulinda nafasi yao ya pili hadi mwisho wa msimu.
 
UMEUSOMA msimamo wa Ligi Kuu England? Umeiona Manchester City? Inatisha kinoma. Imecheza mechi 31, imeshinda 27, imetoka sare tatu na imepoteza mechi moja tu.

Kwa rekodi hizo, ni dhahiri Man City inaposhuka uwanjani, kitu kikubwa unachokitarajia ni ushindi. Na sasa imebakiza ushindi mmoja tu, kutangaza ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu.

Ndio Man City bado mechi moja tu. Kitu kizuri wakati inasubiri kushinda mchezo mmoja, mechi yake ijayo itacheza na mahasimu wao wakubwa, Manchester United huko Etihad.

Kipute hicho kitafanyika Aprili 7 na swali lililopo je, Man United inayonolewa na Jose Mourinho itakubali kufanywa ngazi na Man City ya Pep Guardiola na kutangaza ubingwa wa ligi hiyo?

Ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Everton umeifanya Man City kusubiri kushinda kwenye mechi moja tu ijayo kujibebea ubingwa huo, kwani hapo itakuwa imewekwa pengo la pointi kufikia 19, huku mechi zitakuwa zimebaki sita, ambazo hata ikifungwa zote na timu zinazoikimbiza ikishinda zote, itakuwa imeongeza pointi 18 tu, moja ya pungufu pengo lililopo.

Mchezo ujao wa Man City itacheza na Man United na hilo ndilo linalozidisha utamu wa mchezo huo mmoja unaosubiriwa na mastaa hao wa Guardiola ili kuubeba ubingwa. Man United iliichelewesha Man City kutangaza ubingwa mapema baada ya kuichapa Swansea City 2-0 huko Old Trafford juzi Jumamosi.

Nahodha wa Man City, Vincent Kompany amesema kubeba ubingwa wa Ligi Kuu England mbele ya Man United hiyo ina maana kubwa sana kwa mashabiki wake maana itakuwa kama vile imebeba ubingwa wa dunia. Man City itakuwa bingwa wa England kwa mara ya tatu katika kipindi cha miaka sita ya karibuni kama itabeba pointi zote tatu kwenye wikiendi ijayo.

Kompany alisema akili yao kwa sasa imeielekeza kwa Liverpool, ambayo itachuana nayo Jumatano usiku kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya na baada ya hapo itawaza namna ya kuichapa Man United ili kubeba taji lake la pili msimu huu baada ya taji la Kombe la Ligi.

Tumefanya vizuri hadi kufika hapa, lakini kwa sasa tunawaza mechi yetu ya Jumatano baada ya hapo tutadili na Man United Jumamosi. Sisi tunafanya mambo yetu mechi kwa mechi. Itakuwa kitu kikubwa sana kwa mashabiki wetu, nimeishi hapa Manchester kwa muda mrefu, hivyo nafahamu mambo yanavyokuwa.

Manchester United ina siku saba za kujiandaa, lakini sisi tunahitaji muda wowote ule na kwa sasa tunachohitaji ni kuwa fiti kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.”

Man City ni timu ya 10 kwenye historia ya Ligi Kuu England kufunga kila timu katika ligi kwa msimu husika tangu Man United ilipofanya hivyo kwa mara ya kwanza msimu wa 2010-11.

Chanzo:mwanaspoti
 
Timu ya Manchester City imenoa silaha zake jana Jumatatu jioni katika mazoezi yake kabla ya kuikabili Liverpool kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya unaotarajiwa kupigwa kesho Jumatano usiku.
Kikosi cha Pep Guardiola kinahitaji ushindi kwenye mchezo huo ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutwaa taji Ligi Kuu England.
Barani Ulaya macho ya mashabiki wa soka macho yote yataigeukia mechi hiyo ili kuipa nafasi timu itakayoibuka na ushindi kutinga nusu fainali ya msahindano hayo.
Man City inaingia kifua mbele katika mechi hiyo kesho ikiwa na kumbukumbu ya kushinda mchezo wake wa mwishoni mwa wiki baada ya kuifunga Everton kwa mabao 3-1.
Timu hiyo ya Etihad itashuka uwanjani akili yake ikiwa imeelekeza kwa nyota Kevin De Bruyne na Sergio Aguero wakisaidiana na Raheem Sterling, Bernardo Silva na Gabriel Jesus.

Source Mwanaspoti
 
UMEUSOMA msimamo wa Ligi Kuu England? Umeiona Manchester City? Inatisha kinoma. Imecheza mechi 31, imeshinda 27, imetoka sare tatu na imepoteza mechi moja tu.

Kwa rekodi hizo, ni dhahiri Man City inaposhuka uwanjani, kitu kikubwa unachokitarajia ni ushindi. Na sasa imebakiza ushindi mmoja tu, kutangaza ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu.

Ndio Man City bado mechi moja tu. Kitu kizuri wakati inasubiri kushinda mchezo mmoja, mechi yake ijayo itacheza na mahasimu wao wakubwa, Manchester United huko Etihad.

Kipute hicho kitafanyika Aprili 7 na swali lililopo je, Man United inayonolewa na Jose Mourinho itakubali kufanywa ngazi na Man City ya Pep Guardiola na kutangaza ubingwa wa ligi hiyo?

Ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Everton umeifanya Man City kusubiri kushinda kwenye mechi moja tu ijayo kujibebea ubingwa huo, kwani hapo itakuwa imewekwa pengo la pointi kufikia 19, huku mechi zitakuwa zimebaki sita, ambazo hata ikifungwa zote na timu zinazoikimbiza ikishinda zote, itakuwa imeongeza pointi 18 tu, moja ya pungufu pengo lililopo.

Mchezo ujao wa Man City itacheza na Man United na hilo ndilo linalozidisha utamu wa mchezo huo mmoja unaosubiriwa na mastaa hao wa Guardiola ili kuubeba ubingwa. Man United iliichelewesha Man City kutangaza ubingwa mapema baada ya kuichapa Swansea City 2-0 huko Old Trafford juzi Jumamosi.

Nahodha wa Man City, Vincent Kompany amesema kubeba ubingwa wa Ligi Kuu England mbele ya Man United hiyo ina maana kubwa sana kwa mashabiki wake maana itakuwa kama vile imebeba ubingwa wa dunia. Man City itakuwa bingwa wa England kwa mara ya tatu katika kipindi cha miaka sita ya karibuni kama itabeba pointi zote tatu kwenye wikiendi ijayo.

Kompany alisema akili yao kwa sasa imeielekeza kwa Liverpool, ambayo itachuana nayo Jumatano usiku kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya na baada ya hapo itawaza namna ya kuichapa Man United ili kubeba taji lake la pili msimu huu baada ya taji la Kombe la Ligi.

Tumefanya vizuri hadi kufika hapa, lakini kwa sasa tunawaza mechi yetu ya Jumatano baada ya hapo tutadili na Man United Jumamosi. Sisi tunafanya mambo yetu mechi kwa mechi. Itakuwa kitu kikubwa sana kwa mashabiki wetu, nimeishi hapa Manchester kwa muda mrefu, hivyo nafahamu mambo yanavyokuwa.

Manchester United ina siku saba za kujiandaa, lakini sisi tunahitaji muda wowote ule na kwa sasa tunachohitaji ni kuwa fiti kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.”

Man City ni timu ya 10 kwenye historia ya Ligi Kuu England kufunga kila timu katika ligi kwa msimu husika tangu Man United ilipofanya hivyo kwa mara ya kwanza msimu wa 2010-11.

Chanzo:mwanaspoti
Tunawaua manyumbu hawana uwezo wa kupambans na citizens,CTID.
 
Liverpool and Manchester City will meet for the 179th time in all competitions, but this will be their first-ever meeting in European competition.

Jurgen Klopp has won five matches against Pep Guardiola in all competitions; more than any other manager (excluding shootouts). With two of these victories coming as Liverpool manager (in four attempts).

Liverpool haven’t lost a home match in European competition since October 2014 (0-3 vs Real Madrid) and are now unbeaten in 14 European games at Anfield (W9 D5 L0).

Manchester City will be appearing in a Champions League quarter-final tie for only the second time – the first occasion was in 2015-16 when they progressed over two legs versus Paris Saint-Germain, 3-2 on aggregate.

Liverpool are the top scoring team in the Champions League this season following the quarter-final stage (28 goals). The record tally of goals by an English team in a single Champions League campaign is 32 by Manchester United in 2002-03, while Liverpool’s club record is 29 goals in 2007-08.

The two meetings between Liverpool and Manchester City so far this season have produced 12 goals in total, with 26% of the shots attempted scored (12/47).

Leroy Sane has scored three goals in his two appearances against Liverpool so far in 2017-18.

Sergio Aguero has scored in all four of his Champions League away appearances so far this season for Manchester City (four goals) – no player has scored in five away appearances in a single CL season for an English club.

Mohamed Salah has had a hand in seven goals (six goals, one assist) in eight Champions League appearances so far this season. Before 2017-18, he’d scored three goals and assisted none in 15 appearances in the Champions League (for Roma, Chelsea and Basel combined).
 
IMG-20180403-WA0001.jpg

Flat screen yangu iko tayari kabisa kwaajili ya kuangalia kandanda tamu kutoka kwa watoto wa Pep Guardiola..!
Ahahaaaah...
C'mon City..!!!
 
Kila lakher kwetu, naona mfumo wa leo ni 3-6-1
 
Back
Top Bottom