Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Beki hamna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukiendelea hivi si tunaweza kufungwa hata 6? Na hii ina maana gani basi liver wanaweza kututoa?Beki hamna
Nikweli mkuuSiwalaumu City hawana kikosi cha ku defend
Yaan mme zidiwa kabsa kabsa
Siwalaumu City hawana kikosi cha ku defend
Yaan mme zidiwa kabsa kabsa
Asinge saidiaOtamendi?
Una sajili beki zenye akili ya kushambulia, alafu unakutana na timu yenye safu kali ya ushambuliaji hapo unategemea nn...?Siwalaumu City hawana kikosi cha ku defend
Yaan mme zidiwa kabsa kabsa
Kaaazi kweli kweli!Mmh aiseee wonders. Timu ikifungwa wachambuzi wanajitokeza na kutoa lawama. Ikishinda kicheko kikubwa na kejeli kwa timu pinzani
Hahahahahuzi umesinyaa...!
Tusubil tuone utabir wakoLiverpool ndo timu pekee yake kumuondoa Real Madrid.
Ndoto za asubuh hiz kama ile buyern ilishindwa kufika fainal unategemea nini? Manchester city bado kutamba michuano ya ulayaHamjamjua vizuri pep, subiri waje etihad wote mtashangaa ndio haha !!?.
Pia na ww unaota ndoto mbaya sana zidane na ronaldo kweye hili kombe wanabahati sanaLiverpool ndo timu pekee yake kumuondoa Real Madrid.