The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kwa sasa na ni lazima atakuondoa [emoji23]
Madrid anachukua kombe kwa mara ya tatu mechi wangeanza nyumban kwa city liverpool angekufa historia inawahukumu city nyumban kwa liverpool kibaya zaid karuhusu magoli mengi hata kama city atashinda mech ijayo ila liverpool lazima watapata goli nilipoona mech inaanzia nyumban kwa liverpool nilijua city yupo hatarin sana labda itokee miujiza tu pia klopp ndo kocha anaemsumbua sana pep mech ijayo natabiri sale liverpool kishapita.
 
Madrid ombeni Barca atoke.
Najua mnaomba apangwe na Liverpool japo bado hana ubavu wa kumtoa Barca.
Barca atapangwa na Bayern japo alipize kisasi.
All in all Nusu fainali itakuwa ngumu kuliko fainali.
 
Liverpool akipigwa 5 Etihad stadium sitashangaa kabisa ila hao hao Liverpool wakifunga timu yeyote ya Hispania nitashangaa sana.. binafsi
 
Madrid ombeni Barca atoke.
Najua mnaomba apangwe na Liverpool japo bado hana ubavu wa kumtoa Barca.
Barca atapangwa na Bayern japo alipize kisasi.
All in all Nusu fainali itakuwa ngumu kuliko fainali.
Mkuu madrid champions league ni habar nyingine hasa unapoanza mtoano
 
when it comes to UCL Real de Madrid hata mwanangu mmoja salum aka salugado anajua kwamba hawanaga utani kabisa na wanalichukua tena mwaka huu.
Time will tell labda acheze fainali na Bayern
 
Hamjamjua vizuri pep, subiri waje etihad wote mtashangaa ndio haha !!?.
kujua sio tatizo ...chezen mpira uwanjan ...kwanza mmeshatoa mguu mmoja nje ...mnatakiwa mumfunge liverpool.goli zaidi ya 4 sasa kwa moto na ari ya liva kwa sasa unaamfungaje kizembe hivo wakiwa wamelewa au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…