The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji125][emoji125][emoji125]ngoja nijiondokee mie. Naona umemilik uzi
Table inamuonekano tofauti kabisa [emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji125][emoji125][emoji125]ngoja nijiondokee mie. Naona umemilik uzi
[emoji23][emoji23][emoji23] mwenzangu yani acha tu huu uzi siku hizi naumiliki mimi tu....

Wenzangu naona walikua ni mamluki wamesharudi kwenye timu zao...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] mbavu zangu weeee,watakua liver hao maana wanainyemelea ucl baasi wanaona kuna afuen saiv kwenye timu yao. Au arsenal baada ya wenga kuondoka

Aisee itakua hivyo rafiki yangu kumbe nilizungukwa na wanafiki humu [emoji23]... sasa nitakua najipostisha mwenyewe humu labda na wewe ukiwa unanikumbuka na taarifa zako
 
Hahaha watakuja tu true fans. Mie tena situpagi uzi wowote ntapita tu
Aisee itakua hivyo rafiki yangu kumbe nilizungukwa na wanafiki humu [emoji23]... sasa nitakua najipostisha mwenyewe humu labda na wewe ukiwa unanikumbuka na taarifa zako
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mwenzangu yani acha tu huu uzi siku hizi naumiliki mimi tu....

Wenzangu naona walikua ni mamluki wamesharudi kwenye timu zao...
Mkuu tupo mbona.
 
Aisee itakua hivyo rafiki yangu kumbe nilizungukwa na wanafiki humu [emoji23]... sasa nitakua najipostisha mwenyewe humu labda na wewe ukiwa unanikumbuka na taarifa zako
Mkuu samahani sana, sim yangu ina matatizo. Ndo maana hunioni kama zamani.
 
Kwema mkuu?....

Najua wewe shabiki damu wa City mkuu wala usijari tupo pamoja pia pole sana kwa matatizo ya simu uliyopata......
 
Asante mkuu!!! Ngoja tusubilie usajili, naona safu yetu ya ushambuliaji imeonekana kuchoka mwishoni.
 
Nikweli yani wamekua tia maji tia maji sana ila kila mchezaji namuona ni nondo sijui labda uchovu tu...
 
Hata mimi nashindwa kuelewa tatizo, kama ni uchovu, mbona ma timu mengine anafungaga? Kutakuw na tatizo sehemu.
 
Inawezakana mkuu ila mimi kilio changu beki tu, unajua ule ukuta ni ghari sana lakini wanachofanya hakiendani kabisa na pesa zilizowekwa pale
 
Ni kweli, beki haijakaa vizuri,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…