Nitakukumbusha maneno yakoHuwezi bahatisha mara mbili!
Mwaka huu hamna chenu hamchukui hata FA
Mbunu zile zile haziwezi kukupa EPL mara mbili mfululizo!
Kw amabeki hawa wazito Liverpool anakufunga home and away
Liverpool ndiyo mabingwa wapya wa EPL
Nani hapa anaweza simama na kusema hayaogopi majogoo ya ANFIELD?
Naona mwanzo tu watu wanafanya mauaji mpaka wapinzani wanahofia sasa
Sawa sawaBADO mna kabobo zenu kama useless Fred ni mzuri kwa mnyama Keita?
BHA aliye wafunga nampiga zaidi ya 4 kwangu Anfield
Hamna tem pale nashangaa why aliwadunda
Nani HAPA BADO hayaogopi MAJOGOO?
Man c sio team ya mtu MmojaBora yule albino kaumia makali yamepungua ingawa ni kidogo
Tutapata tabu sana msimu huu
Tupo mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mmekimbia jukwaa lenu
E&K
Kabisa kocha kazingua sana, sané angemuingiza mapema.Leo chances nyingi lakini tumeshindwa kuzitumia, sub zinafanyika too late aisee ila still trong [emoji110][emoji110][emoji110]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yameshatokea mkuu.Mshika kibendera alituuwa kwa hili goli sio goli.View attachment 848064
Sent using Jamii Forums mobile app