The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Walker
1535824836508.gif
 
Goli la Mo Salah dhidi ya Everton lipo kati ya magoli yanayowania tuzo ya FiFA ya Puskas pia Salah anawania tuzo ya Mchezaji Bora wa Kiume wa FIFA 2018.

Mashabiki wote wa Liverpool na wapenda mpira wa ukweli fuata link hii kisha chagua Mo Salah. Anaejua mpira anastahili [emoji23] [emoji23]

[emoji117] The Best FIFA Football Awards[emoji769] - FIFA.com
IMG_20180903_190805_909.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika maeneo ambayo nakisi yake itaonekana msimu huu katika Squad yenu ni eneo la namba tisa, Aguero na Gabriel huwezi pambanisha na namba tisa kama Lukaku, Rashford na Martial. Sijui ni kiburi cha Pep ama nini
 
Dua zote Kesho kwa spurs ishinde zidi ya Liverpool itakuwa Poa Sana kwa upande wetu endapo nasi tutashinda
 
Back
Top Bottom