Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani mkuu...Hongeren kwa ushindi
E&K
Diiiih! Huu mgoli unaweza chukulia Kontena la makonda
Bora abaki hapo hapoDiiiih! Huu mgoli unaweza chukulia Kontena la makonda
Huyu mtoto ana balaa sana naona Madrid washamtamani
Nikweli maana hapo alipo ndio sehemu sahihi zaidi kuliko huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bora abaki hapo hapo
Hiyo ni kamari kuna kupata na kukosa kwa man cityhakuna wakumzuia pep kuchukua ubingwa
Iko wazi homeboyhakuna wakumzuia pep kuchukua ubingwa
gem ya spurs inaweza kuwa droo halafu form ya Watford si ya kubeza kwa sasa!Dua zote Kesho kwa spurs ishinde zidi ya Liverpool itakuwa Poa Sana kwa upande wetu endapo nasi tutashinda
Watford ni habari nyingine sasa hivigem ya spurs inaweza kuwa droo halafu form ya Watford si ya kubeza kwa sasa!
naamin leo kutakuwa na surprise za kutoshaWatford ni habari nyingine sasa hivi
Na Liverpool anaweza kufungwa leo