The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Aaah mtani bora ulipoadimika kipindi muhimu maana bus letu linazama huku tunaliona bila kutoa msaada. Ila kesho sijui niwaombee ushindi au kakipigo au ka droo?
Mtani pole zako ninazo nyingi sana maana ni muda sasa hatujaonana
 
Aaah mtani bora ulipoadimika kipindi muhimu maana bus letu linazama huku tunaliona bila kutoa msaada. Ila kesho sijui niwaombee ushindi au kakipigo au ka droo?
Sasa jiandae kiakili maana hali yenu bado itaendelea hivo hivo ado Jose afukuzwe...... Mimi kesho napiga mtu za kutosha tu wala usijari
 
Line-ups fikiriwa
Screenshot_2018-10-07 Liverpool-Manchester City.png
 
Back
Top Bottom