mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,441
- 431,885
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mashabiki zake wamekua waimba taarabu sana siku hizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mashabiki zake wamekua waimba taarabu sana siku hizi
Daah kweli ndugu yangu tunapishana kweli yani, mimi kwema tu sijui wewe?Mkuu mambo vipi naona tunapishana sana
Clop anawapa viburi sana siku hizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sale atatoa chelsea situnapiga awa?Sare tu leo mzee baba
Akikutana na liver sijui akili zake zinakimbiliaga wapi tu, huyu Sterling leo hakua mchezoni toka mwanzo alitakiwa Sane mapema tuHuyu Pep leo kaaribu sana. Wakati jesus anaingia alitakiwa amtoe Mahrez na si aguero. Vilevile sane alitakiwa aingie Mwanzo wa kipindi cha pili. Ila all in all tupo on top.
Style pendwa hii (Man on top)City hapo juu hatoki tena. na utabiri wangu mpaka 31 dec top 4
1. Man City
2. Liverpool
3. Chelsea
4. Arsenal
Gesus mtoto mjinga sana anajifanya anajua kuliko wenzake mwepesi mno wa kulaumuIle hali ya kumnyima tuta Jesus sikuipenda kabisa ata mwenyewe GJ hakufurahia na ikawa kama laana, Mahrez alionekana kua na wenge sana
Hahahah hapana mkuu ile jana walimkatili sana maana alishautenga mpira kabisaGesus mtoto mjinga sana anajifanya anajua kuliko wenzake mwepesi mno wa kulaumu
ila mm niliona ni sahihi tu kunyimwa tutaHahahah hapana mkuu ile jana walimkatili sana maana alishautenga mpira kabisa
Kwanini?ila mm niliona ni sahihi tu kunyimwa tuta
Amini usiamini anashushwa huyo siku sio nyingiCity hapo juu hatoki tena. na utabiri wangu mpaka 31 dec top 4
1. Man City
2. Liverpool
3. Chelsea
4. Arsenal
Nani atamfunga paka kengele?Amini usiamini anashushwa huyo siku sio nyingi
Sane alikaa benchi makusudi. maana iwapo liverpool wangetangulia kufunga inamaana wangerudi nyuma na mtu sahihi wa kupenya mabasi ni Sane. vile vile city hawakucheza mpira wa ku attack sana maana walijua wakipoteza mpira tu basi counter ingewahusu. Firmino, Mane, Salaa.Akikutana na liver sijui akili zake zinakimbiliaga wapi tu, huyu Sterling leo hakua mchezoni toka mwanzo alitakiwa Sane mapema tu
Hakuna. Mancity anachukua tena epl.Nani atamfunga paka kengele?
Hili halina mjadara tena.Hakuna. Mancity anachukua tena epl.