The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Huyu Pep leo kaaribu sana. Wakati jesus anaingia alitakiwa amtoe Mahrez na si aguero. Vilevile sane alitakiwa aingie Mwanzo wa kipindi cha pili. Ila all in all tupo on top.
 
Huyu Pep leo kaaribu sana. Wakati jesus anaingia alitakiwa amtoe Mahrez na si aguero. Vilevile sane alitakiwa aingie Mwanzo wa kipindi cha pili. Ila all in all tupo on top.
Akikutana na liver sijui akili zake zinakimbiliaga wapi tu, huyu Sterling leo hakua mchezoni toka mwanzo alitakiwa Sane mapema tu
 
Ile hali ya kumnyima tuta Jesus sikuipenda kabisa ata mwenyewe GJ hakufurahia na ikawa kama laana, Mahrez alionekana kua na wenge sana
 
Akikutana na liver sijui akili zake zinakimbiliaga wapi tu, huyu Sterling leo hakua mchezoni toka mwanzo alitakiwa Sane mapema tu
Sane alikaa benchi makusudi. maana iwapo liverpool wangetangulia kufunga inamaana wangerudi nyuma na mtu sahihi wa kupenya mabasi ni Sane. vile vile city hawakucheza mpira wa ku attack sana maana walijua wakipoteza mpira tu basi counter ingewahusu. Firmino, Mane, Salaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…