Goodluck Mchika
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 1,228
- 1,138
yaan ww unasumbuliwa na man u kichwan kalili maana ndio uweo umegota hapoKivitendo vipi Mkuu wakati sisi ni mashabiki epl ni England Premier League na yeyote anaruhusiwa kuweka predictions zake. Wewe ukiweka Spur au Man U. Ni kulingana na wewe ulivyoona wewe na sio mm.
Kukarir kivipi man u kabaki alipikuwa.yaan ww unasumbuliwa na man u kichwan kalili maana ndio uweo umegota hapo
Ongeza mengine mkuu2.BenardoView attachment 905125
Hakika mkuuTimu pekee yenye nguvu ya kuizuia Mancity kipindi hiki ni Liverpool. Msimu uliopita waliachwa kwa point 25. Ila city wapo vizuri na watanyakua tena kombe
Hahahah mkuu Man U tu timu ya historia inakushika shati hivyo, sasa timu ya kizazi kipya utaiweeza kweli?Draw sioni
Ni kipigo tu anapokea
Na mchezaji wao mmoja msimu uliopita walikua wanamlinganisha na Mess ila msimu huu hizo kauli sisikii tenaLiverpool hamna kitu ndugu labda kama huifuatilii vizuri
Liverpool wana kipa tu basi wengine ni vimeo wote
Nice2.BenardoView attachment 905125
Naona unapost huku unapumzika, unachoka maana magoli ni mengi ππ
Naona unapost huku unapumzika, unachoka maana magoli ni mengi ππ
Mmmh tatizo MB[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usi mind sana baba ake...Mkuu mama nani kuwa na staha na maneno this is football utani hauwi hivyo ww ukiitwa mama how do yuo feel