The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kivitendo vipi Mkuu wakati sisi ni mashabiki epl ni England Premier League na yeyote anaruhusiwa kuweka predictions zake. Wewe ukiweka Spur au Man U. Ni kulingana na wewe ulivyoona wewe na sio mm.
yaan ww unasumbuliwa na man u kichwan kalili maana ndio uweo umegota hapo
 
1. Aguero
1540051483047.gif
1540051509412.gif
 
Mechi ni mzunguko wa 9.
Mpaka sasa hakuna mwenye uhakika wa nani atachukua kombe la epl. Ila kwa tunavoona kinachoendelea. Liverpool wanakuja kwa kazi sana. Ila Pep Guardiola wa Manchester City anaonekana anaweza akavunja matumaini ya liverpool. Huyu Huddersfield anaemsumbua Liverpool alipigwa 6 na man city.
 
Back
Top Bottom