Goodluck Mchika
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 1,228
- 1,138
Mechi saa ngapiEtihad here we come
Mechi lini saa ngapiMechi ya Mancity na Man United. Inanipa hofu? Jamaa naona wanakuja kwa kasi sana. Tukipigwa 2 basi tunarudi nafasi 3. Na kuanza kuombea chelsea na Liverpool wapoteze na wao. Man U hebu tuacheni tulete kombe manchester.
Mechi ya Mancity na Man United. Inanipa hofu? Jamaa naona wanakuja kwa kasi sana. Tukipigwa 2 basi tunarudi nafasi 3. Na kuanza kuombea chelsea na Liverpool wapoteze na wao. Man U hebu tuacheni tulete kombe manchester.
Mechi leo jioni mzee, majira ya moja unusuMechi lini saa ngapi
Niombee ushindi na mimi nitakuombea ushindi dhidi ya LiverpoolKesho mpigwe au sare inatosha maana hakuna namna
Naona leo ndio unaanza kumsapoti maana hiyo sare ni ushindi kwao na wanaiotaSijawahi isaport man u mtoe tu sare
najali pount tu ambapo nitaweza ongoza ligi cfcNaona leo ndio unaanza kumsapoti maana hiyo sare ni ushindi kwao na wanaiota
najali pount tu ambapo nitaweza ongoza ligi cfc
Uyu Red Leo anakufa kibudu
Kitu pekee kitakacho muepusha na hicho kifo ni kugoma kuingia uwanjani tu.....Uyu Red Leo anakufa kibudu
Natania tu ila naona mkishinda,Niombee ushindi na mimi nitakuombea ushindi dhidi ya Liverpool
AminNatania tu ila naona mkishinda,