The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Tupigwe Mkuu. Najua wanambea tupigwe ila tushuke. Ile 80% Man city anashunda. 15% droooo. 5% kupoteza
Hii 5% inaweza haribu hali ya hewa. Kumbukumbu mechi ya juve.
5% ikikubali hatutaishi kwa Amani
 
Sio sisi tu. Watasumbua kila mtu. Hata ambae sio man city.
Washabiki wa Arsenal watasumbuliwa
Washabiki wa Chelsea watasumbuliwa
Washabiki wa Liver watasumbuliwa
Nikweli mkuu jamaa huwa wanapenda Sana kuimba Taarabu
 
Nikweli mkuu jamaa huwa wanapenda Sana kuimba Taarabu
Mnatuchokozaga wenyewe!
Utaona leo nusu saa kabla ya mchezo mtakavyojaa kwenye thread yetu kufanya fujo!

Halafu nyie washabiki wa Citizen mko wachache sana na wengi ni wale mliohama timu zenu za awali,kama sivyo basi ni wale mmeipenda kuanzia 2009-2010. Kwahiyo hata tukimchabanga Citizen wakuwasumbua ni Liverpool, Arsenal na Chelsea.
 
Mashetani tukiwafanya kitu mbaya pia wa kuwasumbua watakua ni hao hao jamaa wa Chelsea, Liverpool na arsenal
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom