Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Nan anapaki bas
Mechi na Liverpool mlipaki basi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nan anapaki bas
Tulio droo bila bila
ila msimu huu amku tukamia sana kama msimu ulio pita saivi tunamchezaj anacheza mfumo kama wenu bernado silvaNdiyo, approach ya game ilikuwa ni kubaki nyuma tu, na kufanya mashambulizi ya counter attack.
Hamkufunguka kabisa kutafuta magoli kama kawaida yenu.
ila msimu huu amku tukamia sana kama msimu ulio pita saivi tunamchezaj anacheza mfumo kama wenu bernado silva
Ahahahaha we jamaa vp kwani hujaangalia hata on target na off target Man city walikua wanaongoza afu unasema walipaki basiAisee hongereni kwa kuwapiga jirani zenu, ila punguzeni sifa, kwani 2-1 si ilikuwa inatosha?
Tunaomba siku mkikutana tena na Liverpool mwache tabia za kupaki bus.
Ahahahaha we jamaa vp kwani hujaangalia hata on target na off target Man city walikua wanaongoza afu unasema walipaki basi
Man city treble msimu huu lazima
Trebble ya Carabao, FA na EPL ni possible.
Hiyo haiitwi trebble ficha ujinga wako
Na wengine wanahama kutoka team mbovu MAN UTD. Mbona unaogopa kusema?Kwani nilichoandika hapo kumeathiriwaje na matokeo?
Au kuna uongo niliosema hapo? Kwamba hata Citizens wakitufunga hamna mshabiki wake wa kutusumbua humu maana wengi mmehamia juzi kutoka arsenal na timu nyingine? Kwamba mmeanza kuipenda citizen juzi kipindi cha Robinho?
Au nilisema MUFC itaifunga Citizen hapo?
Wanatuita wahamiaji wakati time zote zipo vizuri sasa hivi kwanini tusingerudi tulipotoka sasa?Na wengine wanahama kutoka team mbovu MAN UTD. Mbona unaogopa kusema?