kayeke
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,601
- 1,750
Nanani kakwambiaTeam haina mashabiki hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nanani kakwambiaTeam haina mashabiki hii
Statistcs zilionyesha mancity alipiga mpira kuliko liverpool. Sijui wewe unazungumzia basi gani. Na kwa man u tulupaki basi. Fuatilia statistics. Ok haya tulilaki na Tupo juu yakoMechi na Liverpool mlipaki basi.
Baada ya ushindi mzuri dhidi ya mashetani tulipewa mapumziko ya mudaKimya humu au timu yenu haina updates
Team haina mashabiki hii
16/08/2009 mdau anatoa comment yake!!!!Nimeuliza kama thread itadumu kwa maana ya kuchangamka. Maana Man City tuijuayo ni timu ya nafasi ya 8-12 kwenye ligi. Tusubiri tuone kama Arab Money ita-deliver performance.
Mambo ni moto ...WEST HAM UNITED VS MANCHESTER CITY... 18:00
Wote tunakumbuka mechi ya mwisho kucheza kwenye ligi tulifanya nini, sasa baada ya mapumziko ya muda kidogo leo tena tupo dimbani.
Mungu ibariki City
Mkuu tupo vizuri sana yani hatariMambo ni moto ...
Haina update kwasababu ipo tu juu sikuzote. Nenda kwa man u utasoma udate za kutosha. Wanalalamika kila mara. Nenda kwa chelsea updates wanazo pia nenda arsenal. Too much talking. Liver wanaafadhali.Kimya humu au timu yenu haina updates
Man City fan can't believe peps effort. You guys are like mediacles waiting be shavedMan City bana...pamedorora
Hata Manu tulikuwa juu, tulishuka tu. Wazungu wanasema, it's a matter of timeKiwango cha citizen kipo juu sana. Tarehe 8 dec chelsea anakula kipigo cha pili cha mbwa mwitu.
Raha ya muda tu hiyo gadiola hakaagi miaka mingi, tunawaombea njaa..Mkuu tupo vizuri sana yani hatari
😀😀😀 Sawa mkuuRaha ya muda tu hiyo gadiola hakaagi miaka mingi, tunawaombea njaa..
Nimekuja kuwafanyia fujo kiduchu naondoka na point yangu Moko. Hadi nafasi ya sita