The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mna Fernandinho replacement moja tu ya dogo Oleksandr Zinchenko peke yake.

Madogo Foden, Brahim na Fabian Delph ni magarasa, na yule Gomes nae bado sana.
 
Nimeuliza kama thread itadumu kwa maana ya kuchangamka. Maana Man City tuijuayo ni timu ya nafasi ya 8-12 kwenye ligi. Tusubiri tuone kama Arab Money ita-deliver performance.
16/08/2009 mdau anatoa comment yake!!!!
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]hata mimi ningeisoma ningempa like.Ila zama zilivyobadilikaaaaa[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
 
WEST HAM UNITED VS MANCHESTER CITY... 18:00

Wote tunakumbuka mechi ya mwisho kucheza kwenye ligi tulifanya nini, sasa baada ya mapumziko ya muda kidogo leo tena tupo dimbani.

Mungu ibariki City
 
FULL TIME
WEST HAM 0 VS MANCHESTER CITY 4


D. Silva
R. Sterling
L. Sane
L. Sane

Moto bado unazidi kuwashwa na hili chama
 
Kiwango cha citizen kipo juu sana. Tarehe 8 dec chelsea anakula kipigo cha pili cha mbwa mwitu.
 
Back
Top Bottom