The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Luke Bolton huyu dogo akifundwa kidogo tu ni bonge moja la bunduki ya England miaka michache tu baadae
 
Mechi ya Mancity na Man United. Inanipa hofu? Jamaa naona wanakuja kwa kasi sana. Tukipigwa 2 basi tunarudi nafasi 3. Na kuanza kuombea chelsea na Liverpool wapoteze na wao. Man U hebu tuacheni tulete kombe manchester.
 
Mechi lini saa ngapi
 
Hiyo mechi ni ngumu mkubwa, sijui nani anashinda au matokeo yanakuaje

Ila nikitumia common sense yangu Man Utd bado sana, Guardiola anashinda sababu timu hata ipaki bus no ngumu kumsumbua. Quality na form ipo kwa Man City, huku kwao Quality na form bado sana. Man city magoli yanafungwa kimpango na sio kubahatisha, watu kama Bernado, Aguero bado ni matumaini makubwa sana ya Guardiola na Man city, Sterling akitulia na kutumia nafasi vizuri ushindi upo
 
Hili Kombe n lakwetu tuu amna duanz anaeweza kuleta kwere. Man U lazma wakae, tutawapga goli 2+
 
IMG-20181111-WA0021.jpeg
 
Back
Top Bottom