CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,634
- 1,001
Tupigwe Mkuu. Najua wanambea tupigwe ila tushuke. Ile 80% Man city anashunda. 15% droooo. 5% kupotezaKesho mpigwe au sare inatosha maana hakuna namna
5% ikikubali hatutaishi kwa AmaniTupigwe Mkuu. Najua wanambea tupigwe ila tushuke. Ile 80% Man city anashunda. 15% droooo. 5% kupoteza
Hii 5% inaweza haribu hali ya hewa. Kumbukumbu mechi ya juve.
Sio sisi tu. Watasumbua kila mtu. Hata ambae sio man city.5% ikikubali hatutaishi kwa Amani
Nikweli mkuu jamaa huwa wanapenda Sana kuimba TaarabuSio sisi tu. Watasumbua kila mtu. Hata ambae sio man city.
Washabiki wa Arsenal watasumbuliwa
Washabiki wa Chelsea watasumbuliwa
Washabiki wa Liver watasumbuliwa
Nikweli mkuu jamaa huwa wanapenda Sana kuimba Taarabu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] DaahLeo mou atawafundisha maana ya soka.
Mashetani tukiwafanya kitu mbaya pia wa kuwasumbua watakua ni hao hao jamaa wa Chelsea, Liverpool na arsenalMnatuchokozaga wenyewe!
Utaona leo nusu saa kabla ya mchezo mtakavyojaa kwenye thread yetu kufanya fujo!
Halafu nyie washabiki wa Citizen mko wachache sana na wengi ni wale mliohama timu zenu za awali,kama sivyo basi ni wale mmeipenda kuanzia 2009-2010. Kwahiyo hata tukimchabanga Citizen wakuwasumbua ni Liverpool, Arsenal na Chelsea.
Utapata tabu sana...subiri 2nd half..Comeback tactic, Lukaku in Mata in.HT
Wanaojua 1 vs Man U 0
Unawaza wachezaji wako waliopo bench unakosea kutokukumbuka wangu waliopo bench...Utapata tabu sana...subiri 2nd half..Comeback tactic, Lukaku in Mata in.
Tupo kwa mkopo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe hii timu nayo ina mashabiki, au ni wa mkopo?