Japokuwa hawajamaa wamefanya rotation ya kikosi chao leo lakini wamempa Bournemouth 3-1,huyu Pep ametengetengeneza kikosi kipana sana,kila mchezaji ni wa daraja la juu sana.
Sioni timu ya kuwazuia hawa jamaa,siyo Liverpool, Man United,Chelsea,Tottenham or Arsenal.Na msimu huu anaweza kutangaza ubingwa mapema sana.
Arsenal yangu msimu huu tutakuwepo 4,Unai anatuongoza vema ila next season tunakuja kuchallenge kutaka Epl