CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,634
- 1,001
Ni kweli boss. Ila epl inaangalia na kocha. Kwa pep lazima asumbue kidogo.Hii EPL Hatuna mbabe wakudumu kila mtu atarudi sehemu yake tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli boss. Ila epl inaangalia na kocha. Kwa pep lazima asumbue kidogo.Hii EPL Hatuna mbabe wakudumu kila mtu atarudi sehemu yake tuu
Acha noma jombaa!😀😀Timu ya kupwa na kujaaa,leo tu nawapiga na vijana wangu Emirates
Mkuu naomba umtoe man u hapo hana challenge yoyote ileJapokuwa hawajamaa wamefanya rotation ya kikosi chao leo lakini wamempa Bournemouth 3-1,huyu Pep ametengetengeneza kikosi kipana sana,kila mchezaji ni wa daraja la juu sana.
Sioni timu ya kuwazuia hawa jamaa,siyo Liverpool, Man United,Chelsea,Tottenham or Arsenal.Na msimu huu anaweza kutangaza ubingwa mapema sana.
Arsenal yangu msimu huu tutakuwepo 4,Unai anatuongoza vema ila next season tunakuja kuchallenge kutaka Epl
Nadhani umeona mwenyewe wamekula 4Acha noma jombaa!
Kweli kabisaMkuu naomba umtoe man u hapo hana challenge yoyote ile
Ila mziki wa Barnley si wa kitoto.Walianza 1-0 ikaja 1-1. Ikafuta 2-1 then 3-1. Sijaelewa nani kaponea. Mancity anachukua kombe utake usitake.
Kombe ni la Totenham Hotspurs.
Nawasubiria mkuu. Epl hakuna mtoto pale wote wanakaza buti. Tatizo ni makocha. Man U akipewa pep. Haitakaa iteremke.Ila mziki wa Barnley si wa kitoto.
Spur kachezea kichapo ila huyu arsenal jaribuni kumzuia hukohuko maana ataweza chafua hali ya hewa. Kuna uzi nilitabiri big 4 ya december watubwakaponda sana ila ila angalia sasa ni yaleyale niliyotabiri.Spurs ipi iliyofungwa na arsenal au?
Chief j5 ndio arsenal tunaanza rasmi kusaka ubingwa na bwana zero kibarua nahisi atakosaSpur kachezea kichapo ila huyu arsenal jaribuni kumzuia hukohuko maana ataweza chafua hali ya hewa. Kuna uzi nilitabiri big 4 ya december watubwakaponda sana ila ila angalia sasa ni yaleyale niliyotabiri.
Tatizo lenu mkikutana na hao jamaa mna droo halafu wengine mnawapa dozi. Ila kiistoria man u kamfunga arsenal sana. Na mkiwafunga hiyo j5 watasema walishawahi kuwafunga sana huko nyuma. Ila kuwafunga nayo inahitaji moyo.Chief j5 ndio arsenal tunaanza rasmi kusaka ubingwa na bwana zero kibarua nahisi atakosa
J5 we ralax gonga balimi zako bila tabu man anakufa zaidi ya totTatizo lenu mkikutana na hao jamaa mna droo halafu wengine mnawapa dozi. Ila kiistoria man u kamfunga arsenal sana. Na mkiwafunga hiyo j5 watasema walishawahi kuwafunga sana huko nyuma. Ila kuwafunga nayo inahitaji moyo.
Hamuangalii kibarua cha kocha.? Mkiwapiga wanabadilisha kocha halafu tutaanza kuumana huku.wakipata kocha mzuri hapatakalika tutachezea wote vichapo. Hivi kuna uwezekano wa Henry kuja kuwa kocha man u? Ni swali tu jamaniJ5 we ralax gonga balimi zako bila tabu man anakufa zaidi ya tot
Tarehe 8 na sisi tunapika mtu wetu.tukiwa fomu ni kichapo tu. Tusipokuwa fomu ni droo.J5 we ralax gonga balimi zako bila tabu man anakufa zaidi ya tot
Bado unawapa nafasi mkuu baada ya kula hiziKombe ni la Totenham Hotspurs.
Nadhani umeona mwenyewe leoAcha noma jombaa!