The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Japokuwa hawajamaa wamefanya rotation ya kikosi chao leo lakini wamempa Bournemouth 3-1,huyu Pep ametengetengeneza kikosi kipana sana,kila mchezaji ni wa daraja la juu sana.

Sioni timu ya kuwazuia hawa jamaa,siyo Liverpool, Man United,Chelsea,Tottenham or Arsenal.Na msimu huu anaweza kutangaza ubingwa mapema sana.

Arsenal yangu msimu huu tutakuwepo 4,Unai anatuongoza vema ila next season tunakuja kuchallenge kutaka Epl
Mkuu naomba umtoe man u hapo hana challenge yoyote ile
 
Spurs ipi iliyofungwa na arsenal au?
Spur kachezea kichapo ila huyu arsenal jaribuni kumzuia hukohuko maana ataweza chafua hali ya hewa. Kuna uzi nilitabiri big 4 ya december watubwakaponda sana ila ila angalia sasa ni yaleyale niliyotabiri.
 
Chief j5 ndio arsenal tunaanza rasmi kusaka ubingwa na bwana zero kibarua nahisi atakosa
 
Chief j5 ndio arsenal tunaanza rasmi kusaka ubingwa na bwana zero kibarua nahisi atakosa
Tatizo lenu mkikutana na hao jamaa mna droo halafu wengine mnawapa dozi. Ila kiistoria man u kamfunga arsenal sana. Na mkiwafunga hiyo j5 watasema walishawahi kuwafunga sana huko nyuma. Ila kuwafunga nayo inahitaji moyo.
 
Mm sio arsenal na wala sio liver. Ila hawa jamaa wapo vizuri sana kwenye ligi. Huyu mdogo wangu chelsea nampa vitu tarehe 8. Namtoa ulingoni kabisa. Naomba kuuliza ka swali. Mashabiki wa Man u mtakuwa upande gani siku hiyo? Mkiishabikia Man city maana yake arsenal ndie anaefaidika na najua mnaichukia chelsea hamtaweza ishabikia. Maana na wao tulipicheza na nyie huwa wanawachukia. Chelsea tunampiga mapema sana ili muweze kuwazodoa mapema. Kama walivyofanya kwenu
 
Tatizo lenu mkikutana na hao jamaa mna droo halafu wengine mnawapa dozi. Ila kiistoria man u kamfunga arsenal sana. Na mkiwafunga hiyo j5 watasema walishawahi kuwafunga sana huko nyuma. Ila kuwafunga nayo inahitaji moyo.
J5 we ralax gonga balimi zako bila tabu man anakufa zaidi ya tot
 
J5 we ralax gonga balimi zako bila tabu man anakufa zaidi ya tot
Hamuangalii kibarua cha kocha.? Mkiwapiga wanabadilisha kocha halafu tutaanza kuumana huku.wakipata kocha mzuri hapatakalika tutachezea wote vichapo. Hivi kuna uwezekano wa Henry kuja kuwa kocha man u? Ni swali tu jamani
 
Wakuu Tarehe 8 tupo na Mjukuu wetu. Sasa tumfanyaje maana wazazi wake tumewaburuza mpaka wanashindwa kuhema. Babayake leo kamchapa spur mama yake alidroo jana na southamtoni. Ankali wake kashinda dakika za majerudi. Anti wake anashuma daraja.
Je mjukuu tumfanyaje? Ni wetu sote tusiwe wakali jamani.
 
Halafu wana jukwaa. Eti nasikia wengine mmehamia kutoka liver na arsenal. Je tukianza kufungwa mtahama ? Au wanaosema ni wale tunaowachapa?
 
Kombe ni la Totenham Hotspurs.
Bado unawapa nafasi mkuu baada ya kula hizi
FB_IMG_1543773112268.jpg
 
Back
Top Bottom