naona umekariri..spurs anapigwa leo na arsenal anakaa nafasi ya nne..kimsingi hakuna timu ya kuitisha arsenal epl kwa sasaaseno nafasi ya nne?
Alafu jana nilijua Mkubwa Man City kapitakana, sijui ikawaje tena wakaponea.Ila City kwa nini makosa ya refa yanakuwa faida upande wao mara zote..wanabebwa????
Arsenal au aseno asenali ...
Ni ipi kati ya hii unyoiongelea wewe
Mkuu unapozungumzia uwezo unamaanisha nini?Nadhani ungetumia neno bahati ingependeza zaidi.spurs,liver,arsenal na chelsea wana uwezo wa kumfunga city na kuharibu uongozi wake wa ligi
Wakati hizo timu tajwa zinamsimamisha City basi hiyo timu itakayokua juu kwa muda huo nayo isisimamishweMkuu unapozungumzia uwezo unamaanisha nini?Nadhani ungetumia neno bahati ingependeza zaidi.
πππnaona umekariri..spurs anapigwa leo na arsenal anakaa nafasi ya nne..kimsingi hakuna timu ya kuitisha arsenal epl kwa sasa
Mkuu tutaipata tu msimu huuaseno nafasi ya nne?
Haina ubishi kabisa, na huyu pep makocha wengine wasiposhtuka atasumbua sanaMan c ubingwa una mhusu
Haina ubishi kabisa, na huyu pep makocha wengine wasiposhtuka atasumbua sana
Yeah sure,first half wale madogo walikuwa Vzr sanaAlafu jana nilijua Mkubwa Man City kapitakana, sijui ikawaje tena wakaponea.
ππTimu ya kupwa na kujaaa,leo tu nawapiga na vijana wangu EmiratesKombe ni la Totenham Hotspurs.
πThe GunnersArsenal au aseno asenali ...
Ni ipi kati ya hii unyoiongelea wewe
[emoji23][emoji23]Arsenal au aseno asenali ...
Ni ipi kati ya hii unyoiongelea wewe
[emoji23][emoji23][emoji23]Ukorofi huo
Yaani mtu apigwe goli sita kwa nunge useme makosa ya refa? Jamaa wanapiga ball acha mchezo.Ila City kwa nini makosa ya refa yanakuwa faida upande wao mara zote..wanabebwa????
Walianza 1-0 ikaja 1-1. Ikafuta 2-1 then 3-1. Sijaelewa nani kaponea. Mancity anachukua kombe utake usitake.Alafu jana nilijua Mkubwa Man City kapitakana, sijui ikawaje tena wakaponea.