The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

spurs,liver,arsenal na chelsea wana uwezo wa kumfunga city na kuharibu uongozi wake wa ligi
Spurs,Arsenal na Man Utd wameshakula vipigo kutoka kwa City.
Au unazungumzia mechi za marudiano.
Liver alifanikiwa kupata sare,Chelsea anacheza na City jumamosi(tutajionea itakavyokua).
 
hata kwa club bora kidunia, bado Man City imastahili hiyo nafasi then ndio Barca wanafuata
 
Dah hili jukwaa halina raha kabisa kimya utadhan kuna msiba.

Kweli hii team hainaga mashabiki
 
Hivi man city kumbe nayo inamashabiki?
Naona uzi mzima wanachangia member wawili tu.
Bila shaka nyie ni wahamiaji haramu kutoka Liverpool, Arsenal, na nyumbu united.
 
54' Watford 0 vs 1 Man City
40. L. Sane ⚽
Mahrez Assist
 
65' Watford 0 vs 2 Man City
51. Mahrez ⚽
G. Jesus assist
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…