moses sam kolowa
Member
- Jul 19, 2018
- 68
- 58
Nmemaanisha mm n shabik mkubwa wa city sema sikuwaga na smartphone.
Sasa huduma kama hz za kuichambua na kuiongelea timu yng Nilkuw nakosa.
Kwani ni kosa kuanza kushabikia mpira miaka hii? Arsenal man u na liver walisumbua kipindi chao. Na wanaweza wakarudi kwenye fomu wakipata kocha mzuri.Mhhh itakua ulianza kuangalia soka miaka ya hivi karibuni, man u na Liverpool ndo timu zenye mafanikio kuliko timu zozote epl
Manchester City is Blue.Nimefurai kuwa humu, am a Manchester city nut(nguli)
*Manchester is blue*
Come on city
Kwani ni kosa kuanza kushabikia mpira miaka hii? Arsenal man u na liver walisumbua kipindi chao. Na wanaweza wakarudi kwenye fomu wakipata kocha mzuri.
Yupi huyo apumzike kwa amani?Wawili washarudi, uyo mmoja apumzike kwa amani
Man uYupi huyo apumzike kwa amani?
Man u unamuonea Chelsea nae apumzikeMan u
Ndio wakati man u anashinda epl technology kwa Tanzania yetu ilikuwa kubwa bado wanayofuraha kwa macho yao bila kuhadithiwa na yoyote wamejionea mafanikioUnawezaje kupima furaha ya kundi fulani?
Okay, kwa miongo mitatu Man Utd ndo kachukua mara nyingi, lakini ndani ya hii miaka ya karibuni hawajafanya vizuri, ila kwa mtazamo wako wao ndo wenye furaha zaidi siyo?
Nimepita somewhere nikakuta mashabiki wa Chelsea wanahaha kinyama
watapata tab sanaNimepita somewhere nikakuta mashabiki wa Chelsea wanahaha kinyama
Nimefurai kuwa humu, am a Manchester city nut(nguli)
*Manchester is blue*
Come on city
Asante mkuuNiwapongeze humu ndani nyinyi mnayofuraha kubwa kuliko mashabiki wa Liverpool, hawajawai kuona team yao ikibeba epl Live, wameshuhudia uefa 1 ,msikate tamaa mmechagua fungu jema
Wanaogopa sio?Nimepita somewhere nikakuta mashabiki wa Chelsea wanahaha kinyama
Ndio wakati man u anashinda epl technology kwa Tanzania yetu ilikuwa kubwa bado wanayofuraha kwa macho yao bila kuhadithiwa na yoyote wamejionea mafanikio
akuna ugum wowote ao Leo wenakula 3 za nguvGame ya Leo ni ngumu