The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Anaeongea haya ujue yupo chini yako. Aliye juu kwa sasa ni liverpool na liverpool fans hawawezi ongea hayo ya ooo hii timu inamashabiki ooo mara blablabla. Kelele ni watu wa chini. Halafu nasikia fununu kuwa man u hawataki kumfunga liverpool jpili kwakuwa akifanya hivyo man city anachafua hali ya hewa hapo jijini manchester. Jiji la Manchester linakuwa blue na sio red.
Mkuu man u hata wangetaka kutufunga hawatoweza kwa sasa mbaya zaid ni ANFIELD

Waje kupaki bus tu hawana kingine cha kufanya
 
Mkuu man u hata wangetaka kutufunga hawatoweza kwa sasa mbaya zaid ni ANFIELD

Waje kupaki bus tu hawana kingine cha kufanya
Watawafunga kama wanataka. Ila nasikia hawataki sasa njie wachokozeni wapate hasira halafu mje mlalamike. Wamesema hawatupendi sisi tu. Ila mkiwachikoza mtaona. Njie endeleeni tu.
 
Watawafunga kama wanataka. Ila nasikia hawataki sasa njie wachokozeni wapate hasira halafu mje mlalamike. Wamesema hawatupendi sisi tu. Ila mkiwachikoza mtaona. Njie endeleeni tu.
Anfield??? Hahaha labda wavizie vizie wapige kamoja afuu wote wakalale golini
 
Leo mapema tu, nafasi ya kushinda tunayo sisi ila game ni ngumu sana
 
Back
Top Bottom