Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Naomba waache mara moja kutuita wahamiaji.
Hawataacha, labda na nyie muache kuwafunga. Hiyo ndo faraja yao, nyie mnawafunga na wao wanawapa majina.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba waache mara moja kutuita wahamiaji.
Mbona timu za epl zimeonewa kwenye droo ya uefa?
Man u na psg? Mmmmh
Liverpool na bayern????
Man utd itapenya kwa wepesi tu mbele ya PSGUkiwa wa pili kwenye kundi ndo unakutana na hizi shida.
Ila Liverpool vs Bayern ni 50-50, hata Tottenham vs B Dortmund nayo 50-50, tabu iko kwa Man Utd.
Yeah ni kweli mkuu. Liver na bayern ni 50 - 50. Hata tot ni 50 - 50.Ukiwa wa pili kwenye kundi ndo unakutana na hizi shida.
Ila Liverpool vs Bayern ni 50-50, hata Tottenham vs B Dortmund nayo 50-50, tabu iko kwa Man Utd.
Man utd itapenya kwa wepesi tu mbele ya PSG
Hawa mashabiki wa huku sio wazarendo... Muda kama huu wanakimbia uzi waoWahamiaji haramu mmelikimbia chaka sio?
Kero sasa.Man city ndo kawaida ya mpira
Win, lose or draw.
Bora hao united. Sisi tunafungwa na timu ambayo 2017 tuliipiga 5 - 0 na tena 5 - 0. Timu ambayo haionyeshi mashambuluzi yoyote. Mancity ana fantastic football ila jamaa wamekamia wamecheza viźuri. Wana beki nzuri sana.Mimi nawatakia mazur
Manchester united isiwe
Wanitesa united.
Kero sasa.
Roho zilukuwa juu. Tuna timu nzuri ila mpira unadunda.Hawa mashabiki wa huku sio wazarendo... Muda kama huu wanakimbia uzi wao
Atafutwe kiongozi wao ataeleza wenzie wako wapi.Hawa mashabiki wa huku sio wazarendo... Muda kama huu wanakimbia uzi wao