The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Tatizo lenu nyie mlitaka kuiondolea heshima EPL mlitaka kuifanya EPL ni kama Scottish premier league vile narudia tena kusema mtapigwa sana huu ni mwanzo tu soon mtaanza kufight Top 4 na sio ubingwa
 
Subiri tushinde mechi 6 clean. Ndo utatujua. Liver katuacha point 4 sasa ni nyingi sana. Halafu tuna southampto duu. Pep anatakiwa ashinde mechi ya liverpool january.
Mechi itakuwa Anfield ushinde?
 
Acha siasa. Mkuu. Mbowe ni man city kwani? Au huyo jiwe ? Wanaukumbi wao hukooooo. Lets talk about football you are one of the best here

Mkuu hicho ni kivumishi cha kuonesha ubora wa goli, it has nothing to do with siasa.

Sorry man, wasn't supposed to use that example BTW.
 
PEP alitaka kufanya ligi ni ya babu yake

Na ndo kwanza kazi imeanza

Mwizi wetu tushamjua watu watakua wanakuwinda hivyo hivyo unacheza wee ukijisahau unakula dozi maana u ukuta mbaya sema madhaifu yake yanalindwaga na viungo

Man city is Fernadinho
Hamna backup ya huyo kiumbe
 
Na kesho tena mnaziacha nyingine pale King power stadium.
 
Alivoumia debrune mulisema man city hamna tena. Leo tena fednandinho, hv hatujawai kufungwa akiwemo?? Mbona tumefungwa match kibao tu na yy akiwemo???

Kuhusu kufanya ligi ya babu yake nyie ndo mulikuwa mnahaha wenyew lakini kama uliwai kusikiliza speech zake sijawai kumskia akisema ivo. Ila yy anaongeaga ki-profession kabs.

Point nne sio issue, kufungwa ni kawaida kweny soka. Alifungwa akiwa Barcelona na Bayern Kwann asifungwe man city??? Na zote zilikuw timu bora Dunian enzi hizo.

Kwn man city asifungwe yy nan??? Akifungwa tu nyodo kibao.

Nadhan neno NYODO umelitumia mahala ambapo sio pake

Kuhusu fernadinho sijamaanisha yy ndo mzizi kabisa ila jamaa anapotential kubwa man city

Labda nikuulize man city mna DM mwingine tofauti na fernadinho??
 
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3] nimeshalitoa hilo neno mkuu,
Man city sio mungu yy asifungwe ni timu kam tim zingine sema ana style tofaut ya uchezaj, mpira wa kii-spanyiola ndan ya uingereza. Cha msing point 3 muhim, namna ya kucheza ni kitu kingine.

Binafsi napenda sana jinsi timu yng inavocheza, napenda mpira wa pass spend limpira la kubutua. Yan unamfunga mtu Kwa starahe. Kwa mpira wetu mtu akijichanganya anakula sita, Saba, tano, nne... Na ndo maana tunaongoza kufunga magoli. Lkn hiyo haizuii kupoteza match km sik siyo yetu, coz kila mtu ana siku yake ya kubanwa, nawaonea huluma river siku mkibanwa maana hamjazoea... Najua kweny akil zenu mnaona hamtafungwa... Angalia ulivomfunga Everton.

Naamin man city sio timu ya kutegemea mtu mmoja km Barcelona na mess, PSG na naymar, Madrid enzi hizo na Ronaldo, Chelsea na harzard, man u na de Gea, River na Mo Sarah,.........n.k.
Ila sisi akitoka mtu mmoja watu wanaswech wanacheza kulingana na waliokuwepo na Wala pengo lake halionekani. Hata asipokuwepo fednandinho watu watasweech tu na utashangaa... Alisemwa KDB sembuse huyo, nafasi yake Gundogan anaweza akaicheza na akaimudu vzr... Kuna match nying tu tumecheza bila jamaa na tunashinda kama kawaida.....

Machi tuliopigwa pep alifanya ujinga mwenyew wa kumchezesha stones kam kiungo mkabaji, hicho ndo kulichomponza. Stones ni full back so kiungo wap na wp, alikuw hanyumbuliki in fact kilimshinda.

Mwisho ukimsema fednandinho usimsahau na DAVID SILVER. namkubal sana huyu kiumbe.
 
Sio river ni LIVER

Turud kwenye mada
Man city ukwel ni kwamba potential kubwa huwa anaideliver fernadinho

Man city hamna DM tofauti na hyo
Ila kwa upande wa KDB kuna backup zake nyingi sanaa mzee

Kauli ya kuwa hatutafungwa umeitamka ww so pambana nayo mwenyewe na fahamu zako ila ss mashabiki nguli tuna jua game ni LOSE,DRAW OR WIN basi so ni ngumu kuniaminisha tofauti na hapo
 
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3] nimeshalitoa hilo neno mkuu,
Man city sio mungu yy asifungwe ni timu kam tim zingine sema ana style tofaut ya uchezaj, mpira wa kii-spanyiola ndan ya uingereza. Cha msing point 3 muhim, namna ya kucheza ni kitu kingine.

Binafsi napenda sana jinsi timu yng inavocheza, napenda mpira wa pass spend limpira la kubutua. Yan unamfunga mtu Kwa starahe. Kwa mpira wetu mtu akijichanganya anakula sita, Saba, tano, nne... Na ndo maana tunaongoza kufunga magoli. Lkn hiyo haizuii kupoteza match km sik siyo yetu, coz kila mtu ana siku yake ya kubanwa, nawaonea huluma river siku mkibanwa maana hamjazoea... Najua kweny akil zenu mnaona hamtafungwa... Angalia ulivomfunga Everton.

Naamin man city sio timu ya kutegemea mtu mmoja km Barcelona na mess, PSG na naymar, Madrid enzi hizo na Ronaldo, Chelsea na harzard, man u na de Gea, River na Mo Sarah,.........n.k.
Ila sisi akitoka mtu mmoja watu wanaswech wanacheza kulingana na waliokuwepo na Wala pengo lake halionekani. Hata asipokuwepo fednandinho watu watasweech tu na utashangaa... Alisemwa KDB sembuse huyo, nafasi yake Gundogan anaweza akaicheza na akaimudu vzr... Kuna match nying tu tumecheza bila jamaa na tunashinda kama kawaida.....

Machi tuliopigwa pep alifanya ujinga mwenyew wa kumchezesha stones kam kiungo mkabaji, hicho ndo kulichomponza. Stones ni full back so kiungo wap na wp, alikuw hanyumbuliki in fact kilimshinda.

Mwisho ukimsema fednandinho usimsahau na DAVID SILVER. namkubal sana huyu kiumbe.
Narudia tena sio RIVER ni LIVER
 
Narudia tena sio liver ni "Liverpool fc"

Tukisema "fc" tunamaanisha "football club". Kwhy sitak kuona mtu arudia tena hayo makosa, Liverpool sio liver. Look very![emoji57][emoji57][emoji57]
 
Acha jutetea kwenye hamna ww

Ukute ulikuaga shabik wa ARSENAL ww ndio maana pumba nyingi
 
Back
Top Bottom