BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,259
- 10,078
Kbs mkuuHahahaha hawa ndo wale wahamiaji kutoka timu zingine uko...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kbs mkuuHahahaha hawa ndo wale wahamiaji kutoka timu zingine uko...
Hakuna shabiki wa Liverpool anayeweza kuhama timu yakeWale ndugu zangu wa Arsenal na Liverpool mliohamia huku Man city mliizani mtapata faraja rudini timu zenu za zamani,hii ni EPL ,haina tofauti na familia ya kambale mtoto ndevu ,mama ndevu ,baba ndevu na bado mtapasuka sana.
Gundogan sio Defensive Midfielder mzuri, sasa kati umemweka DeBruyne ambae sawa anakaba ila sio mkabaji wa kutegemea halafu unamweka na Benardo nae kati nae pia hajui kukaba
Zinchenko ndie pekee kwenye squad yote ya Cityzens anaeweza kuchukua nafasi ya Fernandinho walau unakuwa umeweka mtu
Nyie waamiaji hamjambo[emoji23][emoji23]
lazima wazodolewe, kwanza wengi wao wamejikuta mashabiki wa man city baada ya Pep kushika kuja na moto alioanza nao.Nashangaa fans wa timu nyngne mnavyowazodoa hawa jamaa ktka mashabik wastaarabu hawa jamaa wanaongoza huwez kuwakuta majukwaa mengne wakipayuka hovyo ..tuwape heshma yao tu huu n upepo tu kwao
Kwa hiyo na City kwa sasa ni timu bora duniani?Alivoumia debrune mulisema man city hamna tena. Leo tena fednandinho, hv hatujawai kufungwa akiwemo?? Mbona tumefungwa match kibao tu na yy akiwemo???
Kuhusu kufanya ligi ya babu yake nyie ndo mulikuwa mnahaha wenyew lakini kama uliwai kusikiliza speech zake sijawai kumskia akisema ivo. Ila yy anaongeaga ki-profession kabs.
Point nne sio issue, kufungwa ni kawaida kweny soka. Alifungwa akiwa Barcelona na Bayern Kwann asifungwe man city??? Na zote zilikuw timu bora Dunian enzi hizo.
Kwn man city asifungwe yy nan??? Akifungwa tu nyodo kibao.
Mkuu kubali tu hoja ya bardizbah, kwa City hakuna mbadala wa Fernandinho (player who is doing the dirty work for the team)[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3] nimeshalitoa hilo neno mkuu,
Man city sio mungu yy asifungwe ni timu kam tim zingine sema ana style tofaut ya uchezaj, mpira wa kii-spanyiola ndan ya uingereza. Cha msing point 3 muhim, namna ya kucheza ni kitu kingine.
Binafsi napenda sana jinsi timu yng inavocheza, napenda mpira wa pass spend limpira la kubutua. Yan unamfunga mtu Kwa starahe. Kwa mpira wetu mtu akijichanganya anakula sita, Saba, tano, nne... Na ndo maana tunaongoza kufunga magoli. Lkn hiyo haizuii kupoteza match km sik siyo yetu, coz kila mtu ana siku yake ya kubanwa, nawaonea huluma river siku mkibanwa maana hamjazoea... Najua kweny akil zenu mnaona hamtafungwa... Angalia ulivomfunga Everton.
Naamin man city sio timu ya kutegemea mtu mmoja km Barcelona na mess, PSG na naymar, Madrid enzi hizo na Ronaldo, Chelsea na harzard, man u na de Gea, River na Mo Sarah,.........n.k.
Ila sisi akitoka mtu mmoja watu wanaswech wanacheza kulingana na waliokuwepo na Wala pengo lake halionekani. Hata asipokuwepo fednandinho watu watasweech tu na utashangaa... Alisemwa KDB sembuse huyo, nafasi yake Gundogan anaweza akaicheza na akaimudu vzr... Kuna match nying tu tumecheza bila jamaa na tunashinda kama kawaida.....
Machi tuliopigwa pep alifanya ujinga mwenyew wa kumchezesha stones kam kiungo mkabaji, hicho ndo kulichomponza. Stones ni full back so kiungo wap na wp, alikuw hanyumbuliki in fact kilimshinda.
Mwisho ukimsema fednandinho usimsahau na DAVID SILVER. namkubal sana huyu kiumbe.
Hawawezi kuja kwenye majukwaa yetu maana hizo ndizo asili zao huku man city wapo kama wakimbizi mkuuNashangaa fans wa timu nyngne mnavyowazodoa hawa jamaa ktka mashabik wastaarabu hawa jamaa wanaongoza huwez kuwakuta majukwaa mengne wakipayuka hovyo ..tuwape heshma yao tu huu n upepo tu kwao
Ue unaelewa bas na ww nimeshakwambia city haitegemei mtu, hata kam fednandinho akiumia msim mzima tutapata matokeo.
Nikupe mfano mzr, unajua Fabian Delph natural position yake?? Na anacheza namba ngap??? Fabian Delph ni midfielder naturally, lakin anacheza kam left back(namba 3). Danilo anacheza kam Left back wakati yy ni right back, na tunapata matokeo. Na mwaka jana tumenyanyua ndoo bila kuwa na beki wa kushoto halisia.
Kwo cha msingi sio kukalili namba, watu wanaswech na mambo yanenda bro