AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Naona pumzi imekata huku hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi itakuwa Anfield ushinde?Subiri tushinde mechi 6 clean. Ndo utatujua. Liver katuacha point 4 sasa ni nyingi sana. Halafu tuna southampto duu. Pep anatakiwa ashinde mechi ya liverpool january.
Acha siasa. Mkuu. Mbowe ni man city kwani? Au huyo jiwe ? Wanaukumbi wao hukooooo. Lets talk about football you are one of the best here
Sheria haziruhusu kucheza mechi mbili nyumbani, saiv liver anaenda etihadMechi itakuwa Anfield ushinde?
Habar zenu tunazo
Endeleen kuwa nazo tu, but we don't afraid any body. And am sure we are going to win this race. Quote my words plz!!!Waoneeni huruma, hawajazoea hizi shurba.
Pep ndo anakaribishwa EPL au siyo!
Endeleen kuwa nazo tu, but we don't afraid any body. And am sure we are going to win this race. Quote my words plz!!!
PEP alitaka kufanya ligi ni ya babu yake
Na ndo kwanza kazi imeanza
Mwizi wetu tushamjua watu watakua wanakuwinda hivyo hivyo unacheza wee ukijisahau unakula dozi maana u ukuta mbaya sema madhaifu yake yanalindwaga na viungo
Man city is Fernadinho
Hamna backup ya huyo kiumbe
Nadhan neno NYODO umelitumia mahala ambapo sio pakeAlivoumia debrune mulisema man city hamna tena. Leo tena fednandinho, hv hatujawai kufungwa akiwemo?? Mbona tumefungwa match kibao tu na yy akiwemo???
Kuhusu kufanya ligi ya babu yake nyie ndo mulikuwa mnahaha wenyew lakini kama uliwai kusikiliza speech zake sijawai kumskia akisema ivo. Ila yy anaongeaga ki-profession kabs.
Point nne sio issue, kufungwa ni kawaida kweny soka. Alifungwa akiwa Barcelona na Bayern Kwann asifungwe man city??? Na zote zilikuw timu bora Dunian enzi hizo.
Kwn man city asifungwe yy nan??? Akifungwa tu nyodo kibao.
Sio river ni LIVER[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3] nimeshalitoa hilo neno mkuu,
Man city sio mungu yy asifungwe ni timu kam tim zingine sema ana style tofaut ya uchezaj, mpira wa kii-spanyiola ndan ya uingereza. Cha msing point 3 muhim, namna ya kucheza ni kitu kingine.
Binafsi napenda sana jinsi timu yng inavocheza, napenda mpira wa pass spend limpira la kubutua. Yan unamfunga mtu Kwa starahe. Kwa mpira wetu mtu akijichanganya anakula sita, Saba, tano, nne... Na ndo maana tunaongoza kufunga magoli. Lkn hiyo haizuii kupoteza match km sik siyo yetu, coz kila mtu ana siku yake ya kubanwa, nawaonea huluma river siku mkibanwa maana hamjazoea... Najua kweny akil zenu mnaona hamtafungwa... Angalia ulivomfunga Everton.
Naamin man city sio timu ya kutegemea mtu mmoja km Barcelona na mess, PSG na naymar, Madrid enzi hizo na Ronaldo, Chelsea na harzard, man u na de Gea, River na Mo Sarah,.........n.k.
Ila sisi akitoka mtu mmoja watu wanaswech wanacheza kulingana na waliokuwepo na Wala pengo lake halionekani. Hata asipokuwepo fednandinho watu watasweech tu na utashangaa... Alisemwa KDB sembuse huyo, nafasi yake Gundogan anaweza akaicheza na akaimudu vzr... Kuna match nying tu tumecheza bila jamaa na tunashinda kama kawaida.....
Machi tuliopigwa pep alifanya ujinga mwenyew wa kumchezesha stones kam kiungo mkabaji, hicho ndo kulichomponza. Stones ni full back so kiungo wap na wp, alikuw hanyumbuliki in fact kilimshinda.
Mwisho ukimsema fednandinho usimsahau na DAVID SILVER. namkubal sana huyu kiumbe.
Narudia tena sio RIVER ni LIVER[emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3] nimeshalitoa hilo neno mkuu,

Acha jutetea kwenye hamna wwNarudia tena sio liver ni "Liverpool fc"
Tukisema "fc" tunamaanisha "football club". Kwhy sitak kuona mtu arudia tena hayo makosa, Liverpool sio liver. Look very![emoji57][emoji57][emoji57]