Tatizo team yetu siyo team ya kuuza.Barca wanagawa mpunga kwa sasa, usiwatanie kabisa.
Tatizo team yetu siyo team ya kuuza.
Barca ya sasaivi hainamvuto kama zamani ambapo kila mchezaji alitamani kuchezea.Sure kwa case hiyo nakuelewa. Sema jamaa wana mbinu ambazo zinaweza kumharibia mchezaji concentration, mkajikuta ni bora kumuuza.
Mkuu man u hata wangetaka kutufunga hawatoweza kwa sasa mbaya zaid ni ANFIELDAnaeongea haya ujue yupo chini yako. Aliye juu kwa sasa ni liverpool na liverpool fans hawawezi ongea hayo ya ooo hii timu inamashabiki ooo mara blablabla. Kelele ni watu wa chini. Halafu nasikia fununu kuwa man u hawataki kumfunga liverpool jpili kwakuwa akifanya hivyo man city anachafua hali ya hewa hapo jijini manchester. Jiji la Manchester linakuwa blue na sio red.
Watawafunga kama wanataka. Ila nasikia hawataki sasa njie wachokozeni wapate hasira halafu mje mlalamike. Wamesema hawatupendi sisi tu. Ila mkiwachikoza mtaona. Njie endeleeni tu.Mkuu man u hata wangetaka kutufunga hawatoweza kwa sasa mbaya zaid ni ANFIELD
Waje kupaki bus tu hawana kingine cha kufanya
Anfield??? Hahaha labda wavizie vizie wapige kamoja afuu wote wakalale goliniWatawafunga kama wanataka. Ila nasikia hawataki sasa njie wachokozeni wapate hasira halafu mje mlalamike. Wamesema hawatupendi sisi tu. Ila mkiwachikoza mtaona. Njie endeleeni tu.
Salama mkuuHabari za huku?
Tunaomba iwe hivyoWeekend nyingine ya EPL, kila la kheri game yenu na majirani zetu, maana najua wale mtawapiga tu.
Kwanini mkuu?Leo man city anapoteza game
Kocha analijuw ataweka kikosi kizuriLeo mapema tu, nafasi ya kushinda tunayo sisi ila game ni ngumu sana
Itakua vizuri sana na sisi tunamuaminiKocha analijuw ataweka kikosi kizuri