The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hata majina ya wachezaji kuyataja kazi kwako ndio maana unahangaika tu yaan ni undirectional

Saraha~ni salah
Harzard~ni Hazard
Naymar~ni neymar

Kashabikie Yanga ULAYA huwezi
 
Hii inamaanisha man city haina namba6 tofauti na fernadinho

Uwe unaelewa ndo unamquote mtu

Usikurupuke
 
Narudia tena sio liver ni "Liverpool fc"

Tukisema "fc" tunamaanisha "football club". Kwhy sitak kuona mtu arudia tena hayo makosa, Liverpool sio liver. Look very![emoji57][emoji57][emoji57]
Kutokana na kauli zako kama nduo hvyo ungeandika" Riverpool fc"
Kujitetea yenyewe kazi yaan hujui
 
Ue unaelewa bas na ww nimeshakwambia city haitegemei mtu, hata kam fednandinho akiumia msim mzima tutapata matokeo.

Nikupe mfano mzr, unajua Fabian Delph natural position yake?? Na anacheza namba ngap??? Fabian Delph ni midfielder naturally, lakin anacheza kam left back(namba 3). Danilo anacheza kam Left back wakati yy ni right back, na tunapata matokeo. Na mwaka jana tumenyanyua ndoo bila kuwa na beki wa kushoto halisia.

Kwo cha msingi sio kukalili namba, watu wanaswech na mambo yanenda bro
 
Hata majina ya wachezaji kuyataja kazi kwako ndio maana unahangaika tu yaan ni undirectional

Saraha~ni salah
Harzard~ni Hazard
Naymar~ni neymar

Kashabikie Yanga ULAYA huwezi
Issue sio silabi cha muhim ni hoja tu na najua ujumbe umeupata.
 
Delph??? Hahaha
Kwel huijui EPL pamoja na timu yako mwenyewe

Yaan jambo ambalo unalizungumza likija kutokea mtahangaika ww jiulize swal kwann mpk sasa hiv PEP anamlilia" de jong " ???
Ngoja nikusaidie kujibu pep anamlipia de jong aje awe backup ya fernadinho .

Mkitaka kufungwa mpk msahau mkabidhini hiyo role DELPH kipara acheze DM mtakua mnapoteana humu

Ww hujui kuwa Fernadinho anaficha madhaifu ya beki zenu hizo mbovu

Acha mfananisha fernadinho na vitu vya kipumbafu mzee

Fernadinho akikosekanaga hata Brazil bas ni matatizo tyr

Yaan ni saw na ANOD wa liverpool umrudishe kwa sasa akacheze DM namba 6 kisa tu aliku anacheza hyo namba kwenye academy yake utakua unatafuta matatizo

Delph akabane na watu kama kina DEMBELE,DELPH,WIGNADUM,HERRERA ,POGBA,WANYAMA haha my braza mtakufa nyingiii
 
Acha jutetea kwenye hamna ww

Ukute ulikuaga shabik wa ARSENAL ww ndio maana pumba nyingi
Arsenal ndo mnyama Gani,??? Sina moyo wa kupigania top four kila mwaka. Am a city fun forever and ever. Sijawai kuwa shabik wa uchochoro mwingne wwt.
 
Arsenal ndo mnyama Gani,??? Sina moyo wa kupigania top four kila mwaka. Am a city fun forever and ever. Sijawai kuwa shabik wa uchochoro mwingne wwt.
Ok niwie radhi katk hilo chalii ya kwa mromboo au ya hapa pasua kwetu
 
Umeelewa lakn nilichokiongea??? mbona unajib out point.

Mm nimesema Delph alicheza na mpaka sasa anacheza nafasi ambayo sio yake origin.. sjamaanisha acheze namba 6... Mbona umejibu tofaut na nilchomaanisha? Ebu rudi ukasome vzr bn!
 
Umeelewa lakn nilichokiongea??? mbona unajib out point.

Mm nimesema Delph alicheza na mpaka sasa anacheza nafasi ambayo sio yake origin.. sjamaanisha acheze namba 6... Mbona umejibu tofaut na nilchomaanisha? Ebu rudi ukasome vzr bn!
Bas mkuu amin kua hamna namba6 mwingine wa maana tofaut na FERNADINHO tumalize ubishi
 
Kusajili ni muhim sana na ni kawaida kweny tim, alisajiliwa Mahrez, je alikuja kum-replace nan? Kwo De jong ni kama usajili wa watu wengin. Issue ni kupanua kikosi. Full stop.
 
Bas mkuu amin kua hamna namba6 mwingine wa maana tofaut na FERNADINHO tumalize ubishi
No 6 halisia yupo huyo mmoja, lakn swala sio namba narudia tena... Awepo mmoja au asiwepo hii haimaanish city itakuwa mdebwedo. Ni kwel hayupo lkn tm haitegemei mchezaj mmoja. Kwo issue sio no.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…