The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Wale ndugu zangu wa Arsenal na Liverpool mliohamia huku Man city mliizani mtapata faraja rudini timu zenu za zamani,hii ni EPL ,haina tofauti na familia ya kambale mtoto ndevu ,mama ndevu ,baba ndevu na bado mtapasuka sana.
 
Wale ndugu zangu wa Arsenal na Liverpool mliohamia huku Man city mliizani mtapata faraja rudini timu zenu za zamani,hii ni EPL ,haina tofauti na familia ya kambale mtoto ndevu ,mama ndevu ,baba ndevu na bado mtapasuka sana.
Hakuna shabiki wa Liverpool anayeweza kuhama timu yake
 
Wahamiaji haramu nani aliwaambia mshushe turubai?
Haya wekeni jengine, majirani tupo kuwabembeleza.
Naona mnalia msiba ilhali kule mpangaji mwenzenu anasherehekea ushindi bila kusogea alipi.
 
Gundogan sio Defensive Midfielder mzuri, sasa kati umemweka DeBruyne ambae sawa anakaba ila sio mkabaji wa kutegemea halafu unamweka na Benardo nae kati nae pia hajui kukaba


Zinchenko ndie pekee kwenye squad yote ya Cityzens anaeweza kuchukua nafasi ya Fernandinho walau unakuwa umeweka mtu
 
Jau tupu guadiora anazingua
 
Nashangaa fans wa timu nyngne mnavyowazodoa hawa jamaa ktka mashabik wastaarabu hawa jamaa wanaongoza huwez kuwakuta majukwaa mengne wakipayuka hovyo ..tuwape heshma yao tu huu n upepo tu kwao
lazima wazodolewe, kwanza wengi wao wamejikuta mashabiki wa man city baada ya Pep kushika kuja na moto alioanza nao.
Walikimbia timu zao za mwanzo na kuhamia huku, sasa upepo unawaendea vibaya acha wateseke...

Kanuni ya mpira ni moja tu,.Adui muombee njaa
 
Kwa hiyo na City kwa sasa ni timu bora duniani?

Duh kumbe na Bayern Munich ilikuwa timu bora duniani enzi hizo Pep anaifundisha!!

Ilichukua UEFA au Club World Cup?

Kwa Barca nakubali, na hiyo haikusababishwa na Pep, ilisababishwa na uwepo wa watu kama Xavier, Iniesta, Messi et. all

By the way Barca iliendelea kuwa bora hata kipindi cha Luis Henrique
 
Mkuu kubali tu hoja ya bardizbah, kwa City hakuna mbadala wa Fernandinho (player who is doing the dirty work for the team)

Ukiangalia KDB pamoja na ubora wake, kuna wachezaji wengi mbadala pale City (Creative Players) ndio maana hata alivyoumia hakukuwa na udhaifu sana kwenye timu yenu

Wewe unadhani kwanini Pep alikuwa anamtaka sana Fred, alikuwa anataka back up ya Fernandinho
 
Nashangaa fans wa timu nyngne mnavyowazodoa hawa jamaa ktka mashabik wastaarabu hawa jamaa wanaongoza huwez kuwakuta majukwaa mengne wakipayuka hovyo ..tuwape heshma yao tu huu n upepo tu kwao
Hawawezi kuja kwenye majukwaa yetu maana hizo ndizo asili zao huku man city wapo kama wakimbizi mkuu
 

Jana goli zimepitia kwa huyo Fabian Delph wako na red card juu.
 
Naona wageni tu hapa msibani, tena wanalia hasa. Kwani marehemu alikuwa mtoto au mtu mzima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…