The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

UEFA parefu pale hata city hajawahi fika fainali ujue.
Hahahah jamani nyie mashabiki wa Man U mna maneno kweli, ila sio mbaya maana kocha wenu hajachelewa kwenye Uefa
 
Hamna namna leo vyuma vikaze tu

Ila hawa watoto nadhani nguvu ya soda yaani wanaweza wakaachia mkashinda leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…