Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,490
- 7,422
Hao Leicester city mimi walinifanya kitu mbaya
Mie walinifanyia hivyo Anfield
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao Leicester city mimi walinifanya kitu mbaya
Hahahah jamani nyie mashabiki wa Man U mna maneno kweli, ila sio mbaya maana kocha wenu hajachelewa kwenye Uefa
Ngoja tuone hizi mbio zitaishaje?Mie walinifanyia hivyo Anfield
Hao Leicester city mimi walinifanya kitu mbaya
Mie walinifanyia hivyo Anfield
Eeeh huko sio poa 😀UEFA parefu pale hata city hajawahi fika fainali ujue.
Tuache nipo na mpinzani wangu wa kweli nyie wengine mnatusindikiza 😀Aiseeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Tuache nipo na mpinzani wangu wa kweli nyie wengine mnatusindikiza 😀
Naona Bidada unatucheka wote hahahahaah
Nov 24 Nilikua kwake na nilimpiga goli 4 kwa 0Ila we bado hujaenda home kwake
Anaona tunahadithiana vipigo 😀Naona Bidada unatucheka wote hahahahaah
😀😀😀
Nov 24 Nilikua kwake na nilimpiga goli 4 kwa 0
ndioKweli?
Ndivyo ilivyokua 😀😀.... Leo una EvertonHamna namna leo vyuma vikaze tu
Ila hawa watoto nadhani nguvu ya soda yaani wanaweza wakaachia mkashinda leo