The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hivi kuna mtu anawaza eti liverpool kuwa bigwa?
Amkeni jamani.! Huyu ndie Guadiola na hii ndio City!!!
Hatutaachia hiyo nafasi tena, hivi kweli kuna timu zilitegemea kushindana na Mancity? Akiweka kikosi cha pili lazima kiwe top 4.
Tulikuwa 7points nyuma ya liverpool na na kama mtakumbuka wengi wenu mlishuhudia kuwa wakati tupo 7 points nyuma tulipambana na timu ngumu ambapo ilikuwa tuwe 10 points nyuma.
Now we are heading for the trophy
 
Pongezi nyingi kwa wadau halisi was huu uzi naona vipigo vya hapa na pale bado vinawaandama wapinzani
 
Kileleni kabisa kwa tofauti ya points nne na mtu wa pili japo ana game moja mkononi dua mbaya ziendelee tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…