The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

"The blue moon light "

Nafikili kwa game tisa zilizobaki tunaweza kushinda zote bila hata tatizo kwa sababu nyingine forexample

FIRST

man city wanajiamini yaani tunaenda na msemo mmoja tu uwanjani "yes we do"

SECOND

mpira kwetu sio vita so, tunacheza tunavyoweza "always look city touch only"
yaani simple way of play

THIRD

Anaetufata hana kiu ya ubingwa hadi mwisho sasa kaingia baharini daa

"ONE TROPHY DOWN"

#city of manchester
#calvin power
#all fans of city

YOU NEVER WALK WITH ETIHAD FANS

Cityzen chairman am here
Hivi kuna mtu anawaza eti liverpool kuwa bigwa?
Amkeni jamani.! Huyu ndie Guadiola na hii ndio City!!!
Hatutaachia hiyo nafasi tena, hivi kweli kuna timu zilitegemea kushindana na Mancity? Akiweka kikosi cha pili lazima kiwe top 4.
Tulikuwa 7points nyuma ya liverpool na na kama mtakumbuka wengi wenu mlishuhudia kuwa wakati tupo 7 points nyuma tulipambana na timu ngumu ambapo ilikuwa tuwe 10 points nyuma.
Now we are heading for the trophy
 
Screenshot_20190305-113051.png


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pongezi nyingi kwa wadau halisi was huu uzi naona vipigo vya hapa na pale bado vinawaandama wapinzani
 
Kileleni kabisa kwa tofauti ya points nne na mtu wa pili japo ana game moja mkononi dua mbaya ziendelee tu
 
Back
Top Bottom