The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

tevez kalipitia kombe kwa denge, kwani January ikifika nae atatua SANSIRO huku akiwa na jezi ya AC Milan ambako ndiko atakapoenda libeba rasmi.

Sasa mkaweke masaburi chini then muangalie tena timu ya kuhamia, kwani naamini humu JF hakuna mshabiki wa Man City aliekuwa anaishabikia timu hii kipindi kile cha akina Benjani Mwaruwaru.

Woote wanaoshabikia Man City wamekuja na dege la kimanga.
 

hehehe...... G chomba
 
Hawa waarabu bado sana, wakajipange upya au wakaendelee na level yako akina wigan
 

we subiri safari yako wakati wamtoano sawa baba G Chomba :lol:
 
Hawa waarabu bado sana, wakajipange upya au wakaendelee na level yako akina wigan

ngoja kwanza tuchukue ndoo la epl halafu mwakani uone shughuli yake mpaka nusu kwenye champions..:lol::lol::lol:
 

mkuu wacha1 gemu ya jana ilikuwa haina umuhimu wowote kwani tulibugi kupoteza na wale napoli basi tungetoa droo ilikuwa tuwembali lakini poa mafanikio tuliyoyapata ni makubwa sana baada ya miaka zaida ya 30 ndio tumeingia champions league sio mbaya tutafika tu..

:shock::shock::shock::shock:
 

Shika adabu yako...
Napoli sio Norwich au Blackburn mnaowatwanga 6.

Napoli ni Sugu.
Napoli ni Jeuri.
Napoli ni Sumu.
 
we subiri safari yako wakati wamtoano sawa baba G Chomba :lol:

Mi we wala huniumizi kichwa, umenizidi pointi mbili na najuwa mpaka tunaingia JanuaRy ntakua kileleni
 

Attachments

  • Boateng.jpg
    29.4 KB · Views: 25
Mi we wala huniumizi kichwa, umenizidi pointi mbili na najuwa mpaka tunaingia JanuaRy ntakua kileleni

halafu huyu jombaa yule braza ake nilimaindi kuhama chama basi tu..
vibibi bado mnavyo mtavibebea mbereko gani..
 
leo gemu itakuwa ngumu ila tunachohitaji ni ushindi tu droo ikibidi mata akiongea na media gonga hapa Goal.com
 
mchezo wa leo
Game: Chesea v City
Venue: Stanford Bridge
Time: 8:00 PM (23:00 Tz)
Referee: M Cluttenburg

viva la city..
 


Leo ndio mtamkumbuka Carlos ... .... ....
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 


Leo ndio mtamkumbuka Carlos ... .... ....
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


....Yaani jamaa wamefanya makosa makubwa kumtema Tevez, pamoja na matatizo yake lakini ni mfungaji mzuri sana. Hii mechi ya leo itakuwa kali sana, nahisi kutakuwa na draw. Sijui kama hawa wenye malaria wamepata ahueni au bado wanasumbuliwa na malaria sugu.
 
Was there any player like Carlos .... .... .... ... nay.




Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…