Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tevez kalipitia kombe kwa denge, kwani January ikifika nae atatua SANSIRO huku akiwa na jezi ya AC Milan ambako ndiko atakapoenda libeba rasmi.
Sasa mkaweke masaburi chini then muangalie tena timu ya kuhamia, kwani naamini humu JF hakuna mshabiki wa Man City aliekuwa anaishabikia timu hii kipindi kile cha akina Benjani Mwaruwaru.
Woote wanaoshabikia Man City wamekuja na dege la kimanga.
Naona mme-qualify kucheza Europa cup ... ... .. hongereni

Hawa waarabu bado sana, wakajipange upya au wakaendelee na level yako akina wigan
![]()
Out: Sergio Aguero on the floor after City's Champions League campaign ends
![]()
City sickener: Vincent Kompany can't believe City failed to go through
![]()
Euro woe: Aguero and company now looking ahead to the Europa League
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeecondemned to the europa cup
Thats what it means to the players ... ...
Na huko watatolewa tu.Now back to where you belong.... playing on a Thursday night!!! Halafu eti Mancini anadai wapo level ya Barca! Keep on dreaming boys.
mkuu wacha1 gemu ya jana ilikuwa haina umuhimu wowote kwani tulibugi kupoteza na wale napoli basi tungetoa droo ilikuwa tuwembali lakini poa mafanikio tuliyoyapata ni makubwa sana baada ya miaka zaida ya 30 ndio tumeingia champions league sio mbaya tutafika tu..
:shock::shock::shock::shock:
we subiri safari yako wakati wamtoano sawa baba G Chomba :lol:
Mi we wala huniumizi kichwa, umenizidi pointi mbili na najuwa mpaka tunaingia JanuaRy ntakua kileleni
Naona mme-qualify kucheza Europa cup ... ... .. hongereni
![]()
Leo ndio mtamkumbuka Carlos ... .... ....
Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee