Uwezo mkubwaaaUefa wanawabeba sana . Njia tulizopita tang makund hampit nyie
Itakuwa hajaiona ile mech yaoLeo uwe macho uone shughuli ya wanaume wa mjini nyie ndo mlibebwa kwa PSG au mara hii umesahau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna dalili zote za kuchukua makombe yote ma4Uefa walitoa kauli, we m-bongo unaecomment differ na wao unatoa wapi huo ujasir
Kwangu sijaona sehem wanayotokea 04
Baada ya kichapo pale emirates ,umekimbilia hukuUefa walitoa kauli, we m-bongo unaecomment differ na wao unatoa wapi huo ujasir