The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

0_Manchester-City-v-West-Ham-United-Premier-League-Etihad-Stadium.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi wa liverpool unatia huruma masikini.
Mawazo yao na matarajio yao ni cityzen wa drop point, kisa tim nyingi zilizibaki kwenye izo mech 8 ni zile zilitufunga, wamesahau tim walizozifunga mwanzo wa msimu ndio walizoshindwa kuzifunga sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii VAR inachelewesha utamu wa mpira, kusubiri kama ni goli ama la, kusubiri kama ni penalt ama la inapoteza muda. Italeta sana shida hapo kwenye epl next season. Marefa wanakuwa kama hawana maamuzi, wataichoka.
 
Aggr 6 - 2 kipindi cha kwanza? Hii ni lazima yaani definitely tumeshapita kwenda kota final. Sijui tutakutana na nani. Ila hichi kikosi cha leo sio cha pressure,
 
Back
Top Bottom