CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,634
- 1,001
wakuu mimi huku Burma TV imezingua, hakuna link ya fasta fasta hapa game liendelee ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana shalke wapo vizuri ila Man City is a better team mkuu.aisee kumbe hawa shalke n kama jombe mji tuπππππ
Hebu ngoja niicheki GoogleHuku natumia live football, wapo nyuma dakika 2 leo. Wakati nasubiria VAR ya penalt naangali livescore naona 3.
Acha atoke tu mkuu hawa nyumbu kwa kwa hasira ya kuwamimba hivi wanaweza muumiza kwa lazima ili kutukomesha.Mabadiliko ya city hayakuwa ya lazima. Amemtoa Aguero wakati hakukuwa na haja tena ya magoli. Angemwacha tu apate ujiko wa hat trick,
Mbona wapo sawa kwenye aggr. 2 - 2.
Kulingana na hali ya majeruhi aliyokuwa nayo Man City,sub alizozifanya Pep ni za lazima...Mabadiliko ya city hayakuwa ya lazima. Amemtoa Aguero wakati hakukuwa na haja tena ya magoli. Angemwacha tu apate ujiko wa hat trick,
Yeah ni kweliAcha atoke tu mkuu hawa nyumbu kwa kwa hasira ya kuwamimba hivi wanaweza muumiza kwa lazima ili kutukomesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
10 - 2 on aggr.πππππ eti 7 zerroooo
10 - 2 on
Wewe ni mchawi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaan kuna club mbili zina roho mbaya BARCA NA MAN CITY hawa ukiwaingia vibaya........ Wanakupiga hata goli 20
Sent using Jamii Forums mobile app