The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Rahim Steling aliraka kuwachana na nne ili kipa akaokoa, huyu dogo anafanya vema sana msimu huu, anaweza akala zawadi nono. Anajituma sana.
 
Mabadiliko ya city hayakuwa ya lazima. Amemtoa Aguero wakati hakukuwa na haja tena ya magoli. Angemwacha tu apate ujiko wa hat trick,
 
Mabadiliko ya city hayakuwa ya lazima. Amemtoa Aguero wakati hakukuwa na haja tena ya magoli. Angemwacha tu apate ujiko wa hat trick,
Kulingana na hali ya majeruhi aliyokuwa nayo Man City,sub alizozifanya Pep ni za lazima...
Pia usisahau Man City yupo kwenye mashindano mengi,Jumamosi ana mechi ya FA Cup...
Timu inaongoza nne bila,toa key players jipange na mechi inayofuata..!
 
Back
Top Bottom